Software muhimu kuwa nazo ktk pc yako (Windows)

uzi mzuri sana huu!
Nilikuwa natafuta uzi wa editing ila huu nao umeniumba kivingine katika sekta nzima ya pc yangu
 
Wadau kwa kawaida kila mtumiaji wa pc anakuwa ameinstall software ktk kompyuta yake kwa kadri ya mahitaji ya matumizi yake,
Mtu anayeshughulika na mambo ya video production na photos atatumia software tofauti na mtu kama accountant, architecture au Djs nk.
Ukiachilia mbali zile software muhimu kwa kazi zako kuna software nyingine ambazo in general ni muhimu kwa usalama,urahisishaji,urekebishaji na usafishaji wa pc yako kuhakikisha inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi hasa kama unakuwa connected na internet

Anti-Virus Software

Hii
ndio software ya kwanza kabisa kufikiria kuiweka baada ya kuistall windows yako. kuna virus wengi sana wametengenezwa kushambulia pc yako na antvirus ndio njia pekee ya kukabiliana na hili,
So ni uchaguzi wako utapendelea ipi

Windows Maintenance

These are programs that keep your Windows installation into a shape. As you use your computer day by day its performance may drop because of various issues that are generated with everyday usage.
Hapa zinaongelewa software zitakazo ifanya pc yako ifanye kazi yake kama inavyotakiwa
Ccleaner,
registry easy,
Registry Machenics
nk kwaajili ya kumeintain windows installation na kurepair registry

SpeedUpMyPc kwa kuifanya iwe faster zaidi

Revo Uninstaller au unistaller zingine: inashauriwa kwa ku uninstall vitu bila kuacha mabaki ya registry ktk pc

EASEUS patrition master:For creating and manage disk patrition in windows sysytem

DOWNLOADER
Mara nyingi watumiaji wa pc wanaoingia online hupendelea kudownload vitu mbali mbali kama softwres, miziki, movies nk, hapa kunakuwa kunahitajika downloader itakayo fanya kazi hii kwa ufanisi zaidi na kwaharaka kuliko downloader za browser.
Internet Download Manager: Hii inaaminika na wengi kwa ufanisi wake pia inao uwezo wa kudownload youtube videos, pia zipo
Free Download Manager,
Orbit nk




Archiving Software
Katika dunia ya IT kwa sasa software hii ni muhimu sana kuwa nayo kwasababu vitu vingi sana vinavyokuwa katika internet vya kudownload vina kuwa katika mfumo wa compressed to archives, inahitajika software maalumu kuweza kufungua mafaili haya, so nimuhimu kuwa na software mojawapo ya hizi kufanya kazi hiyo.
WinRAR,
7zip,
Power archiver
nk

MALTMEDIA SOFTWARE
Kwa media player maranyingi wengi wetu ni wapenzi wa kusikiliza muziki lakini Windows media player haisapoti baadhi ya format za muziki, unaweza kudownload muziki au mfano youtube videos hizi hazipo sapported na windows meadia player hapa unahitaji software itakayo weza kuplay hizo format au kuzi convert zinazogoma kwa windows player.
VCL: Hii imeshikilia soko na ni ya kuaminika kwa kuplay format za aina tofau tofauti
Umedownload mafaili yaliyo katika mfumo(iso image) ambao unabidi utumie software kuweza kuhifadhi katika cd/dvd au umeazima cd/dvd unataka kuicopy fasta, unahitaji software hizi
Ashampoo burning studio
Nero nk

PDF READER
Kuna mafaili ambayo yapo katika mfumo wa PDF uwezi kuya fungua kama hauna software ya kufungulia mafaili hayo
Adobe reader
FoxitPhantom nk

TORRENT CLIENT
Asilimia kubwa ya software nilizo zitaja ni za kununua, lipo kimbilio la walala hoi unakwenda ktk torrents site unatafuta software utakayo bure ikiwa na keys au cracked. ila huwezi kuipakuwa hadi uwe na torrent client installed in your pc.
Hapa sasa ndio umuhimu wa torrents client unapo kuja, baadhi ya torrents clients ni
Vuze
Uttorent
Bittorrent nk Je nisoftware gani nyingine unadhani ni muhimu kuwepo katika kompyuta yako?
Mkuu hiyo SpeedUpMyPc nimeipakua ila nimeshindwa kuitumia coz kuna time inaniomba serial number ili iweze ku scan..nisaidie namna ya kuichakachua
 
Back
Top Bottom