habari wanajamvi,napenda kijizwa je kuna software ya kwenye simu android inayoconvert pdf kuwa word.Mind u exclude office lens.which i find it to be uselex. sababbu iko very slow pia inastore kwenye word wapi sijui wakati cam scannernyingine ziko faster.
Hali kadhalika je kwenye pc pia je kuna kitu cha namna hiyo.