Mkuu Boflo Labda huyo unaye chat nae Sio MziziMkavu ni Robot Computer hahahahahahahMimi project manager.. Umeridhika?
Mzizi ww wa ajabu sana...
mganga wa kienyeji ni ww
software engineer ni ww
usiku kucha hulali...
kuoa hutaki....
wewe ni kati ya wale 60%?sijaelewa bado, sijui nina kichwa kigumu au@Boflo
wewe ni kati ya wale 60%?
We mngese tu, ##@@$$%^^^%^&&&****&^%$