G galasa Member Dec 15, 2011 14 3 Jan 10, 2012 #1 Somo hili linaendelea toka :- Software Development- Part 3 Katika sehemu hii tutakusanya maswali na maoni ..... Kama umefanikiwa kufanya installation Reply hii post ili nijue... Tukipata 50 replies za waliofanikiwa ku-install tutaanza somo lenyewe................... Kama umeshindwa uliza pia...... Part 5 itawajia baada ya kupata 50 replies za wadau waliofanikiwa ku-install Microsoft Visual Studio 2010 Express Edition
Somo hili linaendelea toka :- Software Development- Part 3 Katika sehemu hii tutakusanya maswali na maoni ..... Kama umefanikiwa kufanya installation Reply hii post ili nijue... Tukipata 50 replies za waliofanikiwa ku-install tutaanza somo lenyewe................... Kama umeshindwa uliza pia...... Part 5 itawajia baada ya kupata 50 replies za wadau waliofanikiwa ku-install Microsoft Visual Studio 2010 Express Edition