Software Developer - React & React Native - Open for Work

mats_

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
398
296
Habari wakuu, Mimi ni kijana mwenye Bsc IT & Systems, Nna ujuzi wa kutengeneza mifumo ya kompyuta, tovuti, UI\UX Design & Graphics.

Nakukaribisha tuweze kufanya kazi na kuweza kutatua matatizo mbali mbali katika biashara yako kwa njia ya kidigitali.Ujuzi wangu unaniwezesha kufanikisha kutengeneza Web Apps & Mobile Apps (Android & iOS)

Thanks and Kind Regards.
 
Are you securing job ( gigs)
Secured one React Native job till this moment, it's an ongoing project.

But, too many proposals get ignored and squashed down the road. Sjui proposals nafeli wapi !
 
Back
Top Bottom