lilraq12345
Member
- May 25, 2017
- 19
- 40
Nahitaji kusoma software code kupitia youtube anaejua aweze kwanza kunifafanulia ni nn software code na inafaida gani kusoma pia ukisoma kupitia youtube bila kuwa na cheti badae itakusaidia vp kufanikisha malengo yako note:nilisoma humu humu kwa ufupi kuhusu software code nikaipenda nahitaji ushauri zaidi labda ckuelewa vizuri na pia ni kitu gani kingine unaweza kusoma kupitia youtube au online course ikasaidia kuliko kukesha na kusoma habari za udaku.