Softcopies of Schemes of work for ordinary secondary level available

Swalehe26

Member
Jan 14, 2018
9
2
Wadau salam,

Kwa ndugu zangu walimu, ninayo furaha kuwajulisha kuwa kuna softcopy ya schemes of work za masomo yote ya sekondari Kidato cha I hadi IV ambazo zimeandaliwa kwa kufata malekezo ya mihtasari na mitaala.

Dunia ya kuandika kwa kalamu na kufutafuta nyaraka tumeiacha 2022, tuhamie dunia ya kidijitali.

Mwenye kuhitaji anicheki whatsapp 0687 551333

JPEG_20230101_190857_3461393756160245463.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom