SOFT COPY ZA NGAIZA CHEMISTRY

SOFT COPY ZA NGAIZA CHEMISTRY

Mwenye soft copy za vitabu vya ngaiza naomba tusaidiane kwa aina yeyote ile

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio fair kabisa mkuu, hii ni piracy. Yaan mtu anapoteza mda wake kuandika contents thn ww unakuja tu ukipate kwa bando la buku.

This is fuckin unfair.

Inasikitisha sana kuona watanzania tunashushana sisi kwa sisi. Bora ungesema chand au vtabu vngne vya nje, lkn ngaiza huyu mzalendo na bado mnamshusha kwa kupata vitabu vyake bila hata kumchangia, sasa atapata wapi moyo wa kuendelea kuandaa contents kama vitabu havimuingizii faida.

Mi naomba hata kama kuna mwenye nayo basi aache kuisambaza hio softcopy coz huo ni wizi(piracy)

Inasikiitisha sana
 
Kwan mm nimesema nachukua bure???? Au nanunua tatzo sehemu nilipo ni kijijin sana hvyo nikinunua vitabu kufka inakuwa kaz kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio fair kabisa mkuu, hii ni piracy. Yaan mtu anapoteza mda wake kuandika contents thn ww unakuja tu ukipate kwa bando la buku.

This is fuckin unfair.

Inasikitisha sana kuona watanzania tunashushana sisi kwa sisi. Bora ungesema chand au vtabu vngne vya nje, lkn ngaiza huyu mzalendo na bado mnamshusha kwa kupata vitabu vyake bila hata kumchangia, sasa atapata wapi moyo wa kuendelea kuandaa contents kama vitabu havimuingizii faida.

Mi naomba hata kama kuna mwenye nayo basi aache kuisambaza hio softcopy coz huo ni wizi(piracy)

Inasikiitisha sana
Materials zote unazopata mtandaoni unalipia
 
Hahah wewe jamaaa hoja zakooo baana.... Vitu vingine kausha tu.... Hahaha ur talkn to much

Huwez jua hali ya mtu... Hata me nimefanya copy sana
 
Sio talking tooo much mzee. Kuna vitu inabidi uangalie, Unajua waTZ tunakandamizana sie kwa sie, afu mwisho wa siku tunakuja kulalamikia serikali wakati sisi kwa sisi ndo tunakandamizana.

Sasa kama watu wakianza kutumia hizo softcopy zikazagaa mtandaoni, huyu Ngaiza yy atauza wp. Unajua jamaa anazunguka sana mashuleni kuuza vitabu vyake af mtu anakuja kuchukua just for free. Waibieni kina chand, nelkon, na authors wengne wa nje lkn kwa tz inabidi tufikiriane aisee.

Just Imagine ww ungekua ndo NGAIZA afu unakutana na thread ya hv ungejisikiaje.
 
Ila kama haujawahi kuwa author sikulaumu coz utaona kawaida, lkn kwa sisi authors hicho kitu kinauma sana, hasa pale unapokuta mtu kapiga copy kitabu chako full.
Thefreedom
 
Ngja nikuuulize swaliiii??? Ngaiza wewe ni naniyako??
 
Ila kama haujawahi kuwa author sikulaumu coz utaona kawaida, lkn kwa sisi authors hicho kitu kinauma sana, hasa pale unapokuta mtu kapiga copy kitabu chako full.
Thefreedom
Kakupa sabab ya msingi kwamba kwao ni mgumu kufika kwa wakat.... So anatafuta alternative

Unataka kuniambia wewe kila unachotumia ni original sio cracked???
 
Haaahaaa. Poa bn mzee baba, naona uko obsessed na hacking kiasi kwamba kila kitu unakiangalia in "hacking point of view"

Wengi tunatumia vitu vilivyo na piracy ila my point in kwamba kwa sisi wa TZ its better tusapotiane na kama kucrack basi tucrack vya abroad.

CASE CLOSED
 
all the best......
 
Back
Top Bottom