Sofia Simba, Bashe, Malima na Musukuma karibuni Ufipa, upepo unapovuma

Sofia Simba, Bashe, Malima na Musukuma karibuni Ufipa, upepo unapovuma

ULISHAWAI SIKIA HATA SIKU MOJA ACT ILIMJIBU AFANDE SELE....CHAMA MAKINI HAKIWEZI BISHANA NA WACHUMIA TUMBO.
HIVI KATI YA ACT NA CHADEMA KIPI NI CCM B?
MAKAPI YOTE YA CCM YANAZOLEWA NA CDM, CHAMA KIMEPOTEZA DIRA, KIMEJAA WACHUMIA TUMBO MTUPU KUTOKA CCM.


Walikokatwa mikia wamerudi ccm
 
Kama mmemchukua wema mtawaacha hao.
ACT ni chama makini sana. Ni ngumu mchumia tumbo yeyote kujiunga na chama kinachojali masirai ya watanzania.
Masirahi ni kitu gani? Sikijui
 
Ndugu zangu,

Jana na yawezekana leo kumekua na fukuzafukuza ndani ya chama dola ambapo baadhi ya vigogo wa CCM wamefukuzwa uanachama na wengine kupewa onyo.

Ni dhahiri kua kwa maelezo ya baadhi ya wajumbe pamoja na kauli za mwenyekiti wa chama taifa, ufukuzwaji wa hao vigogo unatokana na wao(vigogo) kumshabikia ndugu Lowassa na kudai demokrasia yakweli ndani ya chama.

Mimi kwa mtazamo wangu, CHADEMA wasisite kuwapokea hao wanachama waliovuliwa uanachama ndani ya CCM kwani sababu za wao kufukuzwa uanachama ni Lowassa ambaye yuko CHADEMA ambako bilashaka wanayosababu ya kumfuata na utaratibu wa kumfuata ni kijiunga naye kupitia chama alichopo, yaani CHADEMA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom