Sofia Simba, Bashe, Malima na Musukuma karibuni Ufipa, upepo unapovuma

ULISHAWAI SIKIA HATA SIKU MOJA ACT ILIMJIBU AFANDE SELE....CHAMA MAKINI HAKIWEZI BISHANA NA WACHUMIA TUMBO.
HIVI KATI YA ACT NA CHADEMA KIPI NI CCM B?
MAKAPI YOTE YA CCM YANAZOLEWA NA CDM, CHAMA KIMEPOTEZA DIRA, KIMEJAA WACHUMIA TUMBO MTUPU KUTOKA CCM.

Ukweli huwa haujibiwi, Afande alisema Ukweli ndio maana chama chenu cha ACT kimekaa kimya
 
Hao pengine ni majasusi, fisiem wajanja sana, we utadhani wametolewa kumbe ni picha tunachezewa, kumbuka ya mrema, kwa mawazo yangu ni kuwa mrema ni muuaji wa vyama vya upinzani
 
Aahr. Kwa kipindi hiki wasomi wengi, haiwezekani kukiua chama kirahisi.

Fisiemu ndo wanajiua wenyewe
 
Lumumba hawapendi kuambiwa ukweli wakiambiwa wanawaona watu ni wachochezi bashe usife moyo
Waende kwenye chama alichonunua Mzee wao lowasa wakakijenge vizuri..Sofia simba apewe bawacha, bashe achukue bavicha, msukuma itikadi na uenezi, serukamba apewe ukatibu mkuu.
 
Wanachojivunia wanasiasa wa Tanzania ni upumbav.u na ujing.a wa wapiga kura wa taifa hili......

Tanzania ina wapiga kura ambao huwezi kuwapata sehemu yoyote ile duniani.....ni wapiga kura ambao uwezo wao wa kufikiri na kuchanganua mambo ulishakufa kitambo....bali vichwa vyao vimebaki kuwa kama maboksi ya kuhifadhia propaganda za wanasiasa wachumia tumbo.......

Ni rahisi sana kuwa mwanasiasa hapa nchini kwani hauhitaji kuwa na hoja nzito na mikakati ya kimaendeleo dhidi ya wapinzani wako.....bali unachohitaji ni kuibua kashfa na matusi dhidi ya mpinzani wako basi una uhakika wa kuzoa kura kutosha........

Haikuhitaji kuwa na ajenda kuu za maendeleo pindi utakapochaguliwa bali ni kungoja matukio na kwenda nayo sambamba.......

Kwa mujibu wa moja ya nukuu za baba wa taifa....ili taifa liendelee moja kati ya nguzo imara ni siasa bora.....kwani kupitia siasa bora ndipo tunapata viongozi wenye dira na maoni ya kuweza kuliendesha vyema gurudumu la maendeleo ya taifa letu kutokana na mikakati yao ya kimaendeleo.........lakini kwa kutazama hata kwa jicho moja tu....utagundua kuwa tumeshafeli kwenye kipengele cha siasa bora na ndio ulipo mzizi wa matatizo yetu........

Unategemea taifa litapigaje hatua kama tunawachagua wezi na vibaka kulinda hazina kuu......

Taifa litapigaje hatua kama tunawapima wagombea kwa uwezo wao mkubwa wa kuwatukana wapinzani wao na kuibua kashfa zao na sio kwa mikakati yao kwenye kuliinua taifa hili.....!??

Nasisitiza tena ujing.a na upumbav.u wa wapiga kura wa taifa hili ndio msingi au mtaji wa wanasiasa wetu kwa manufaa yao....na ndio tiketi ya umaskini na ufukara kwenye taifa hili......

MUNGU IBARIKI TANZANIA

. .
 
Hao pengine ni majasusi, fisiem wajanja sana, we utadhani wametolewa kumbe ni picha tunachezewa, kumbuka ya mrema, kwa mawazo yangu ni kuwa mrema ni muuaji wa vyama vya upinzani
Ficiem ya leo haina uwezo huo wa kufikiri
 
Waende kwenye chama alichonunua Mzee wao lowasa wakakijenge vizuri..Sofia simba apewe bawacha, bashe achukue bavicha, msukuma itikadi na uenezi, serukamba apewe ukatibu mkuu.
Serukamba nae kafanyaje tena?
 
Naam!

Kitendo cha Sofia Simba kufukuzwa Lumumba, Bashe, Musukuma na Malima kutiwa mbaroni,, ni dhahiri kabisa kuwa, Lumumba wamewachoka.

Kwakua watu hawa ni wabunge na viongozi makini na kwakua Lumumba wameshawachoka, basi wahamie ufipa, wanakaribishwa kwa moyo mkunjufu.

Waje tukajenge jeshi kubwa na imara la 2020
Wazee wa makapi naona mmeshachungulia fursa
 
Wanachojivunia wanasiasa wa Tanzania ni upumbav.u na ujing.a wa wapiga kura wa taifa hili......

Tanzania ina wapiga kura ambao huwezi kuwapata sehemu yoyote ile duniani.....ni wapiga kura ambao uwezo wao wa kufikiri na kuchanganua mambo ulishakufa kitambo....bali vichwa vyao vimebaki kuwa kama maboksi ya kuhifadhia propaganda za wanasiasa wachumia tumbo.......

Ni rahisi sana kuwa mwanasiasa hapa nchini kwani hauhitaji kuwa na hoja nzito na mikakati ya kimaendeleo dhidi ya wapinzani wako.....bali unachohitaji ni kuibua kashfa na matusi dhidi ya mpinzani wako basi una uhakika wa kuzoa kura kutosha........

Haikuhitaji kuwa na ajenda kuu za maendeleo pindi utakapochaguliwa bali ni kungoja matukio na kwenda nayo sambamba.......

Kwa mujibu wa moja ya nukuu za baba wa taifa....ili taifa liendelee moja kati ya nguzo imara ni siasa bora.....kwani kupitia siasa bora ndipo tunapata viongozi wenye dira na maoni ya kuweza kuliendesha vyema gurudumu la maendeleo ya taifa letu kutokana na mikakati yao ya kimaendeleo.........lakini kwa kutazama hata kwa jicho moja tu....utagundua kuwa tumeshafeli kwenye kipengele cha siasa bora na ndio ulipo mzizi wa matatizo yetu........

Unategemea taifa litapigaje hatua kama tunawachagua wezi na vibaka kulinda hazina kuu......

Taifa litapigaje hatua kama tunawapima wagombea kwa uwezo wao mkubwa wa kuwatukana wapinzani wao na kuibua kashfa zao na sio kwa mikakati yao kwenye kuliinua taifa hili.....!??

Nasisitiza tena ujing.a na upumbav.u wa wapiga kura wa taifa hili ndio msingi au mtaji wa wanasiasa wetu kwa manufaa yao....na ndio tiketi ya umaskini na ufukara kwenye taifa hili......

MUNGU IBARIKI TANZANIA

. .
Mkuu kanza calm down maana inaonekana umeandika kwa machungu na manung'uniko ya kiwango cha dunia.

Mtaji ya wapiga kura wa.si.o.ji.e.le.wa upo hukoo vijijini ambapo fisiemu wanawadanganya na vitenge na kofia
 
Hivi ZZK iliondoka vipi huko au wasaliti kwetu ni sawa tu mkuu?
Naam!

Kitendo cha Sofia Simba kufukuzwa Lumumba, Bashe, Musukuma na Malima kutiwa mbaroni,, ni dhahiri kabisa kuwa, Lumumba wamewachoka.

Kwakua watu hawa ni wabunge na viongozi makini na kwakua Lumumba wameshawachoka, basi wahamie ufipa, wanakaribishwa kwa moyo mkunjufu.

Waje tukajenge jeshi kubwa na imara la 2020
 
Naam!

Kitendo cha Sofia Simba kufukuzwa Lumumba, Bashe, Musukuma na Malima kutiwa mbaroni,, ni dhahiri kabisa kuwa, Lumumba wamewachoka.

Kwakua watu hawa ni wabunge na viongozi makini na kwakua Lumumba wameshawachoka, basi wahamie ufipa, wanakaribishwa kwa moyo mkunjufu.

Waje tukajenge jeshi kubwa na imara la 2020
Kumbe Makala za Lizaboni zilikuwa za kweli!
 
Naam!

Kitendo cha Sofia Simba kufukuzwa Lumumba, Bashe, Musukuma na Malima kutiwa mbaroni,, ni dhahiri kabisa kuwa, Lumumba wamewachoka.

Kwakua watu hawa ni wabunge na viongozi makini na kwakua Lumumba wameshawachoka, basi wahamie ufipa, wanakaribishwa kwa moyo mkunjufu.

Waje tukajenge jeshi kubwa na imara la 2020
Yeah. Hata mimi napendekeza waende Chadema. Na kwakuwa Sophia Simba ni asset, napendekeza Mbunge mmoja wa Viti Maalum wa Chadema aondolewe nafasi yake ijazwe na Sophia Simba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom