Sofia Simba, Bashe, Malima na Musukuma karibuni Ufipa, upepo unapovuma

Sofia Simba, Bashe, Malima na Musukuma karibuni Ufipa, upepo unapovuma

gasto genaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2014
Posts
780
Reaction score
554
Naam!

Kitendo cha Sofia Simba kufukuzwa Lumumba, Bashe, Musukuma na Malima kutiwa mbaroni,, ni dhahiri kabisa kuwa, Lumumba wamewachoka.

Kwakua watu hawa ni wabunge na viongozi makini na kwakua Lumumba wameshawachoka, basi wahamie ufipa, wanakaribishwa kwa moyo mkunjufu.

Waje tukajenge jeshi kubwa na imara la 2020
 
Kama mmemchukua wema mtawaacha hao.
ACT ni chama makini sana. Ni ngumu mchumia tumbo yeyote kujiunga na chama kinachojali masirai ya watanzania.
Ukitulia pombe zikaisha ukisoma tena andiko lako naimani uta edit ucjal
 
Naam!

Kitendo cha Sofia Simba kufukuzwa Lumumba, Bashe, Musukuma na Malima kutiwa mbaroni,, ni dhahiri kabisa kuwa, Lumumba wamewachoka.

Kwakua watu hawa ni wabunge na viongozi makini na kwakua Lumumba wameshawachoka, basi wahamie ufipa, wanakaribishwa kwa moyo mkunjufu.

Waje tukajenge jeshi kubwa na imara la 2020
Kama walidhindwa CCM huku kwa mfalme wa same wataweza
 
TANGAZENI MALI ZENU NA MADENI YENU KISHA MJE ACT. VINGINEVYO NENDENI KWENYE KILE CHAMA KINACHOZOA ZOA WATUUMIWA WA MIADARATI.
Umesahau maneno ya afande sele,kuwa zito alimwagiza amchafue lowasa uchaguzi Mkuu,hiyo ni ccm B
 
Umesahau maneno ya afande sele,kuwa zito alimwagiza amchafue lowasa uchaguzi Mkuu,hiyo ni ccm B
ULISHAWAI SIKIA HATA SIKU MOJA ACT ILIMJIBU AFANDE SELE....CHAMA MAKINI HAKIWEZI BISHANA NA WACHUMIA TUMBO.
HIVI KATI YA ACT NA CHADEMA KIPI NI CCM B?
MAKAPI YOTE YA CCM YANAZOLEWA NA CDM, CHAMA KIMEPOTEZA DIRA, KIMEJAA WACHUMIA TUMBO MTUPU KUTOKA CCM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom