Kutoka Tanzania Daima
...... Asha Bakari.Wengine ni Shamsa Mwangunga, Hawa Ghasia, Zainabu Mwamwindi, Furahia Abdallah, Fatuma Tawafiq, Lucy Mayenga, Lediana Mng'ong'o, Subira Mohamed na Zainabu Shomari.
.
Kutoka Tanzania Daima
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wanawake ya CCM (UWT) ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Sofia Simba, amemsimamisha kazi Katibu wa jumuiya hiyo, Hasna Mwilima katika mazingira ya kutatanisha kwa madai kuwa ni maagizo kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete.
Kweli kikao kilifanyika na kuamua kumfukuza kazi Hasna na mwenyekiti alisema lilikuwa ni agizo kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete ambaye ni mwenyekiti wa CCM taifa, alisema mmoja wa wajumbe hao.
Kwa mujibu wa habari hizo, barua ya kusimamishwa kazi kwa Hasna ilipelekwa nyumbani kwake na wajumbe wanne ambao ni Asha Bakari, Zainabu Mwamwindi, Furahia Abdallah na Subira Mohammed.
Habari zaidi zinasema kuwa mbali ya kumsimamisha kazi, kikao hicho pia kiliamua kumnyanganya gari.
.
Mponjoli hapo naweza kupata Picha, maana sielewi akili mbaya ya huyu mama na kubakia kwake madarakani hadi leo....kunasababishwa na nini.Shangazi yake Kikwete huyu wewe hujui????
Mh! Yeye ndiye kiboko ya Kilango.Heeeee! yeye kaboronga mara ngapi lakini hajatimuliwa? Kiboko yake Kilango.
Mh! Yeye ndiye kiboko ya Kilango.
Kutoka Tanzania Daima
Mbali ya Waziri Simba, wajumbe wengine waliohudhuria kikao hicho na kuridhia uamuzi huo ni pamoja na Makamu Mwenyekiti wa UWT, Asha Bakari.
Wengine ni Shamsa Mwangunga, Hawa Ghasia, Zainabu Mwamwindi, Furahia Abdallah, Fatuma Tawafiq, Lucy Mayenga, Lediana Mngongo, Subira Mohamed na Zainabu Shomari.
Wote wako sifuria moja. Hakuna anayemzidi mwenzie. Nachelea kutotamka vibaya......Mh! Yeye ndiye kiboko ya Kilango.
Just asking the same question! Ni kama umekuwa kwenye mawazo yangu muda wote kabla sijasoma post yako.hivi hiki chama ni chama cha wanawake wa CCM ambao ni waislamu..
uongozi mzima ni wa dini moja...inawezekana ikawa ni tatizo la ugomvi wao..mipasho tu
hivi hiki chama ni chama cha wanawake wa CCM ambao ni waislamu..
uongozi mzima ni wa dini moja...inawezekana ikawa ni tatizo la ugomvi wao..mipasho tu