Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 764
Mama anaupiga mwingiKuna siku nilisema soda zimepungua mtaani. Sasa manoni tunayaona. Ukiwa na duka kwa sasa hupati soda kwa gari Hadi uwe umeorder kiwandani. Pili bei ya jumla imeongezeka kutoka 9500 Hadi 11,000.
Nani mwingine ajiuzuru
Itafika soonHadi uandike uzi? Soda bei kwenu tu Dodoma hapa ni 500
Dodoma kwenyewe hakuna labda hizi take away, alafu take away sio soda ni juice tu zile hazina taste kabisa.Hadi uandike uzi? Soda bei kwenu tu Dodoma hapa ni 500
Kiwanda gani?kwani upande wa coca cola hata sielewi nini kimewakuta yaani kuna baadhi ya maeneo ndani ya Dar, soda hasa cocacola imekuwa adimu sana!!Kuna siku nilisema soda zimepungua mtaani. Sasa manoni tunayaona. Ukiwa na duka kwa sasa hupati soda kwa gari Hadi uwe umeorder kiwandani. Pili bei ya jumla imeongezeka kutoka 9500 Hadi 11,000.
Nani mwingine ajiuzuru
Kipindi maji ya shida mwaka jana kuna watu walidai mgao wa maji umesababisha soda kupanda bei.Kuna siku nilisema soda zimepungua mtaani. Sasa manoni tunayaona. Ukiwa na duka kwa sasa hupati soda kwa gari Hadi uwe umeorder kiwandani. Pili bei ya jumla imeongezeka kutoka 9500 Hadi 11,000.
Nani mwingine ajiuzuru
Dodoma ipi unaishi wewe? Kuna upungufu wa soda za pepsi.Dodoma kwenyewe hakuna labda hizi take away, alafu take away sio soda ni juice tu zile hazina taste kabisa.
Huo upungufu ndio nauzungumzia hata mm mbona unajikaza sana mkuuDodoma ipi unaishi wewe? Kuna upungufu wa soda za pepsi.
On our depot tunauza Soda kreti moja shilingi 10k kwa bei ya jumla na big tunauza 11k
Kwa soda za kopo zote isipokuwa pepsi na Mirinda tunauza 9000 as usual.
Faida yake kwa soda ni 250 ila kwa pepsi na mirinda ni 209!
Kwenye bia pia kuna upungufu wa Castle Lite na Kilimanjaro
Hapo kwenye bei muache kutudanganya.Huo upungufu ndio nauzungumzia hata mm mbona unajikaza sana mkuu
Ni kweli kuna upungufu lakini bei haijapanda hasa kwa rejareja.
Ok,basi inawezekana kuna maeneo mengine bei imepanda maeneo mengine bei haijapanda,nilipo tunaendelea kununua kwa 500 tu.Mm mbez week saaa soda amna na ukipata ni 600 sio 500 tena