Coca nowdays wana 500Ml najua ni Pepsi tu, Anyway Coca ya sikuhizi hapana kwakweli wanazinguaNaunga mkono. Especially hizi kubwa chupa mpya hizi za Mil 500.
Ile radha yake imepotea kabisa, ni kama vile wameingia kwenye ushindani hivyo wamepunguza uboraNaunga mkono. Especially hizi kubwa chupa mpya hizi za Mil 500.
Mi mwenyewe nimehamia soda za Pepsi, maana soda zote za Coca hazieleweki, gesi wameondoa kabisaSi ndio maana Pepsi wamewapiga gap, hata kutangaza tu nowadays hawaeleweki
Maji yapo sema kapuni shindani za maji zimekua nyingi sn siku hiziToka afe Mengi Coca-Bonite zimekuwa adimu baadhi ya sehemu, na maji ya kilimanjaro yamekuwa hayapatikani, siku hizi karibu kila duka au bar ukienda wanasema hawana maji ya kilimanjaro
Unazungumzia Coca cola zipi? Coca diet, Coca zero au regular Coca?Kwa watumiaji wa vinywaji vya kampuni ya Coca Cola Kwanza, hivi karibuni soda zao zina walakini.
Soda hazina gesi kabisa, hii inasababisha tuhisi ni soda feki.
Coca Cola tusaidieni watumiaji wa vinywaji vyenu maana soda zenu zinakera sana.
Soda za Fanta huwa zinakuwa mbaya ni kama unakunywa damu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hang over za pombe asubuhi unatowa na nini?ACHENI KUNYWA SODA
So unakunywa niniBora niliachaga hayo matakataka!
Sasa hivi unakunywa nini ambayo si matakataka?Bora niliachaga hayo matakataka!
Mkuu, mbona hata zamani kampuni ya jambo ilikuwepo, sasa hivi kanda ya ziwa maji yaliyo mengi ni jambo ndio zinakuja kampuni nyingine, kilimanjaro haikupaswa kuwa adimuMaji yapo sema kapuni shindani za maji zimekua nyingi sn siku hizi
Take awayCoca nowdays wana 500Ml najua ni Pepsi tu, Anyway Coca ya sikuhizi hapana kwakweli wanazingua