Soda nzuri! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soda nzuri!

Discussion in 'JF Doctor' started by G spanner, Jun 16, 2011.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wajumbe mie naomba kujulishwa hivi soda ipi nzuri kiafya ambayo ndani yake unaweza ukapata virutubisho muhimu mwilini kwasababu kuna baadhi ya soda kama cocacola naziogopa kabisa kutokana na vitisho nilivyovipata kwamba kwa mfano mfupi ukichukua mfupa wa kuku na kuweka pamoja na coca katika glass kwa masaa kadhaa ule mfupa unayeyuka ndipo nilipogundua kuwa hii soda ni destructive one so ipi ni nzuri kwa afya na ina virutubisho gani mwilini?
   
 2. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Kunywa juice fresh..tengeneza mwenyewe mfano maembe, chungwa, parachichi, nanasi n.k.
   
 3. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  kunywa maji tu kaka hakuna cha juice wala soda hapo zote ni sugar na mikalories kibao ama tafuta light soda (free energy).

  Ujumbe kuwa na mpenzi mmoja au ukishindwa tumia kondomu
   
 4. d

  doctore. Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna soda nzuri
   
 5. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ukishindwa kbs bora unywe sprite au 7up
   
 6. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,480
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 180
  Jaribu pia Mountain Dew.
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  Zote ni mbaya fuata ushauri wa juisi au maji.
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Maji ndio bora....
   
 9. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Kilimanjaro, Uhai, Maisha, sayona, Africa, Masafi au yepi Mkuu?
   
 10. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nnachokijua mimi khs maji yapi bora kilimanjaro is the best!
   
 11. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Ndo maana zinauzwa kwa bei mbaya, siyo au?
   
Loading...