Soda ni Sumu; Je, TFDA wanafanya nini?

Soda ni Sumu; Je, TFDA wanafanya nini?

hata mimi

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
1,356
Reaction score
1,447
Habari zenu ndugu zangu

Niende moja kwa moja kwenye dukuduku langu... ni kuhusu kinywaji cha (aina ya) soda ambacho wataalamu wengi wa afya (kama sio wote) wamekifafanua sana kwamba ni hatari kwa afya na ni sumu inayoua polepole.

Sasa cha ajabu ni kwamba hapa kwetu (nchini) kinywaji hiki kimekuwa kikitumiwa (kuuzwa na kunywewa) bila hata ya tahadhari wala miongozo yoyote.

Cha ajabu zaidi na kushangaza kama sio kusikitisha ni pale ambapo Mkuu wa kitengo kinachohusika na maswala hayo (ya vyakula na madawa) yaani TFDA alipoulizwa kuhusu jambo hilo na akatoa majibu mepesi na hoja tepetepe kabisa.
>>>alijibu soda sio kinywaji hatari kwakuwa kinatumiwa na watu wengi duniani.

Wananchi huwa tunapokea maelekezo kwa wataalam kutoka mamlaka husika Sasa je kwa hali hii tutategemea tuna mamlaka imara ya kutulinda wananchi kweli dhidi ya afya zetu?, mana hiyo ni soda tu je na vingine (ambavyo huenda tunatumia na wao wapo kimya)

Nimeshindwa kuweka link hapo lakini nimesoma kwenye Muungwana anayeweza anisaidie tafadhali
 
Kuna vitu vingine mtu unajiongeza mwenyewe. Siku hizi karibia kila kitu ni sumu na inaleta effect baadae. Assume tuchukulie sirias kila kitu.

Mfano mimi nina mwaka sasa toka nimeacha kunywa soda aina yoyote ile. Ila sasa napiga kitimoto kama sina akili. Yale mafuta yake vip.? Huyu kaacha sigara lakini pombe anakunywa.

Ndio maisha yetu haya.
 
Haahahah.
Naona umewwka hisia mbele kuliko uhalisia.
Nnnkonachoua kwenye hiyo soda?
 
acha nifurah tu.
Samahan mkuu kuna mtu unamjua ameshakufa kwa sababu ya soda.?
Aisee upo nyuma kweli,kwa aina ya maswali unayouliza,
Ulipaswa kuuliza ni vitu gani ndani ya soda vinaifanya kuwa sumu,na vinaudhuru mwili kivipi tena kwa ushahidi wa kisayansi,
Siyo hilo swali za vijiweni ulilouliza,
 
Mkuu naomba maana ya sumu ikiambatana na mifano ya kipi ni sumu na kipi sio sumu

Based na hiyo maana utakayoitoa,naomba utuletee utafiti unaoonesha kuwa soda ni sumu
Hata sukari na chumvi vikizidi imebainika hugeuka sumu ktk mwili,
Unajua sumu watu tunajua ni km ilivyo ya panya nk,
Kitu chochote kinachoudhuru mwili ni sumu
Yapo majaribio yamefanywa ya nguvu ya soda ni balaa,
 
Sukari ,
Chumvi
Sigara ni sumu
Sasa sijui kipi kipo salama.
Dawa zenyewe tunazokunywa tunapougua zina madhara
 
Mkuu,
Hakuna akulazimishaye kunywa soda.

Ukitambua kuwa soda ni sumu acha kunywa.

Just take a decision which is simple and clear.
Ama punguza kabisa unywaji,
Sijaskia mgonjwa akishauriwa kunywa soda kwa tatizo lake ila nimeskia akishauriwa kiacha kabisa soda,
Soda ni hatari kwa afya zaidi hata ya pombe
 
Back
Top Bottom