Iko hivi...
Kama lengo ni kufanyiwa Recategorization...
1. Zote Zinaanza na mshahara wa TGS D (710,000/=)
2. Zotee utaanza na Officer II
3. Kama Halmashauri haina watumishi bomani ina maana utakuwa bomani na ukiwa bomani zoteee hazina hela (posho, extra duty) hata kama zipo ni kidogo sanaa.
USHAURI.
Kwa kuwa umesema wewe ni mwalimu then upo Halmashauri.
Kwasasa serikali wameunda Idara mpya na Vitengo Vipya ndani ya Halmashauri, mfano; Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Kitengo cha Mawasiliano, Kitengo cha Fedha. Pia Kuna nyengine (Tafuta pdf usome).
Hivyo kujitenga kwa vitengo na Idara itasababisha tu uhaba wa watumishi kwenye Idara.
Mfano:- Afisa Biashara muda mwengine alifanya Kazi za uhasibu ila Sasa anatoka Fedha.
Mi nakushauri kasome mambo ya biashara au uhasibu au Ugavi 💷💷💷💷💶💷💶💷💶.
to yeye mwalimu anataka kukimbia.
BARCA ON
#YNWA