A ankoekka Member Jul 23, 2016 85 21 Jan 17, 2017 #1 Naombeni msaada kujua salary scale/ range za social worker kwa national and international levels. Asanteni.
Naombeni msaada kujua salary scale/ range za social worker kwa national and international levels. Asanteni.
corasco JF-Expert Member Jan 17, 2016 3,664 3,386 Jan 17, 2017 #2 Kafanye kazi ndugu,hujui kuna njaa sasa hivi?
A ankoekka Member Jul 23, 2016 85 21 Jan 17, 2017 Thread starter #3 Ndo nataka kuomba, wanataka applicant aeleze salary expectation
B Bacary Superior JF-Expert Member Jul 3, 2014 3,721 1,513 Jan 18, 2017 #4 mmmhhh ndio wanapokosa apo mambo ya salary expectation
STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,075 17,237 Jan 18, 2017 #5 kimbele mbele inalipa sana, sema kibongo land sijajua ni vipi. Labda watu wa Arusha watakujuza