Social media na ndoa

Social media na ndoa

kwa mwanandoa anae jiheshimu, hawezi weka PC za ovyo mtandaoni. sasa ndugu na jamaa wakiona c watakuona unamatatizo.

wanaoweka pc za kibinua makalio asilimia kubwa hawajaolewa hapo ndo wanatafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wengine maboya sana... Hivi unaruhusuje tu mke wako kila baada ya nusu saa anatupia picha...achilia mbali kugeuza tako..

Kushare tu picha hovyohovyo... So whaatt..

Wanaume acheni uboya.
 
Inasikitisha sanaaa kweli watu tunatofautiana
 
Waulize Wazungu kwanza...Beyonce akiwa Kinara wao...!!

Wa huku kwetu ni Malimbukeni tu, wanaigaiga kila jambo...! poleni sana kwa wale watakao muoa mtu kama Giggy Mahela, Tunda, Linnah, Vannesa na Micharuko wengine...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitandao ya kijamii imechangia sana kuongezeka kwa talaka siku hizi, tunakoelekea ni kubaya zaidi hakuna maadili tena, mke wa mtu unapiga picha umebinua kiuno au mapaja yako wazi, na anajibu comments za hiyo midume kwa staili ya kujitongozesha aisee dunia tambara bovu, wacha niendelee kuwa mshamba tu

Sent using Jamii Forums mobile app

nashangaafga watu hawaamini kwann sipo insta wala fb shogaa ! acha tuwe washamba ! mie kapeace nna picha 1 tu niipigwa harusin nimegeuka mwenzangu akanipiga kwa nyuma !jaman nasisimka na kutetemeka eti nipige picha kwa nyuma !uoneshe makalio ili iweje ! tena mie Picha zangu 90% ni half!sipend kupiga full! labda wanaonesha SHOW WHT UR MAMA GAVE
 
Mwanamke aliye ndani ya ndoa hana kosa, kosa analo mume kwa kua jambo lolote kama silitaki basi mke wangu hawezi kulifanya, mkeo anapaswa kujua huogopi kumpoteza endapo tu ataenda kinyume na maelekezo yako.
Nyinyi wapeni wake zenu demokrasia na uhuru mnauona kwenye series za nchi za Marekani na Ulaya, nawahakikishia mwanamke ni kama maji, maji huchukua umbo la chombo, ukiyaweka kwenye kibuyu maji huchukua umbo la kibuyu, ukiweka kwenye beseni maji huchukua umbo la beseni.

Kuweni makini tena kuweni serious wake zenu wasiwapande kichwani.

Bora mia nzima kuliko elfu kumi iliyochanika

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Kuwa mtandaoni sio shida...ila kutupia mwili wako now and then..only to get likes kumbe wengine wanakuenjoy tu
naona mtoa mada hataki hata mkewe amiliki smati phoni izi za kileo
 
Mwanamke aliye ndani ya ndoa hana kosa, kosa analo mume kwa kua jambo lolote kama silitaki basi mke wangu hawezi kulifanya, mkeo anapaswa kujua huogopi kumpoteza endapo tu ataenda kinyume na maelekezo yako.
Nyinyi wapeni wake zenu demokrasia na uhuru mnauona kwenye series za nchi za Marekani na Ulaya, nawahakikishia mwanamke ni kama maji, maji huchukua umbo la chombo, ukiyaweka kwenye kibuyu maji huchukua umbo la kibuyu, ukiweka kwenye beseni maji huchukua umbo la beseni.

Kuweni makini tena kuweni serious wake zenu wasiwapande kichwani.

Bora mia nzima kuliko elfu kumi iliyochanika

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Asante mkuu
 
nashangaafga watu hawaamini kwann sipo insta wala fb shogaa ! acha tuwe washamba ! mie kapeace nna picha 1 tu niipigwa harusin nimegeuka mwenzangu akanipiga kwa nyuma !jaman nasisimka na kutetemeka eti nipige picha kwa nyuma !uoneshe makalio ili iweje ! tena mie Picha zangu 90% ni half!sipend kupiga full! labda wanaonesha SHOW WHT UR MAMA GAVE
 
Kadri siku zinavyosonga mbele naona nazidi kukua kiakili,sijui ndio ushamba wenyewe.. mbeleni nahisi ntaacha kabisa kutumia mitandao yote.
Instagram ilinishinda baada ya kuona hakuna Cha maana Zaid ya mapicha.
Fb bado nipo kidogo kwa sababu ya religious groups,,Avatar zangu nyingi natoa huko.
Hivi wanandoa huo Muda wote wakuingia insta wanautoa wapi???
Kwa Jinsi navyoiangalia ndoa yaani
 
Back
Top Bottom