Social media na ndoa

Social media na ndoa

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
14,842
Reaction score
10,765
Leo naomba kuuliza kwa wanandoa, instagram, facebook n.k. zina mchango wowote kwenye kuongezeka wimbi la talaka?

Ewe mwanamume unajisikiaje pale mkeo anapoposti picha kavaa kisuruali cha kubana akionesha matako instagram, halafu unakuta "likes" 1000 na comments za kusifia tako nyingi tu toka kwa wanaume.

Unakuta ana followers 12,000 halafu katika hao mia tano tu ndio wanawake unawaza nini? huyu mke uliyemuoa akachanganye wewe anayatoa udenda minjemba mingine huko.

Hivi mke wa ndoa kupost mapicha ukiwa kwenye mapozi mbalimbali huwa mnatangaza nini hasa?
86a1c9a7ae0d5db5e843ff5bd885a6e0.jpg
8d021abc2c225dd3e88a8a7088b67cca.jpg
0343ecf151949ed969157617e8ec187e.jpg
93e3cf17e623c4c2cbee6885a863177f.jpg
f65301f09b7a1ddc5053d662eba31a88.jpg
745be89d069cb299658473e3656fb494.jpg
 
Mkuu kwani hujui biashara ni matangazo ??

Halafu hili jambo sio zuri, ndio linasababisha michepuko na migogoro mingi kwenye ndoa..NDOA IHESHIMIWE
Siku hizi hata walio olewa wanauza mzed
Ni Hatari. Huwa nashangaa wanawake wanavyoshindana kutupia picha za fasheni instagram na facebook. Halafu hazina chochote zaidi ya kutaka kusifiwa tu. Najiona wa kizamani Sana, dunia imekwenda kasi mno. Doris
 
Kuna baadhi ya wanaume wanapenda wake zao wawe hivo tena wanacoment kabisa. Kuna siku Niko saloon ,kuna mdada Kaja na mume wake, me baada ya kutengeneza nywele nikafunga hijab yangu kama kawaida, Yule baba akawa ananiuliza kama unafunika kichwa Kwanini unatengeneza nywele Ndio unatengeneza kwa ajili ya mumewako tu, Mimi mke Wangu tena napenda avae vimini, vipensi yaani nafurah.

Wewe pambana na Hali yako tu ya watu yatakuumiza.
 
Huyo ni kuku wa kisasa. Kuhusu ya watu Ama umepotea njia, Ama huelewi hata maana ya threads kama hizi. Sijamsema mtu hapa, Fungua akili. Kwa sasa unajidai na hicho kimsemo, pambana na hali yako. Halafu siku yakikukuta ndio unakuja hapa unalialia kutaka Ushauri. Lazima haya mambo yasemwe, exceptions zitakuwapo tu. Ndio maana watu wanatembea na wake na waume za watu. Sisi ni kuonesha nyufa tu kabla watu hawajatiana ngeu
 
Wake za watu wanaopenda kufanya hayo wengi ni malaya. Ni warahisi sana kuwamega hasa ukiwa mjanja wa kuwacompliment.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mitandao ya kijamii imechangia sana kuongezeka kwa talaka siku hizi, tunakoelekea ni kubaya zaidi hakuna maadili tena, mke wa mtu unapiga picha umebinua kiuno au mapaja yako wazi, na anajibu comments za hiyo midume kwa staili ya kujitongozesha aisee dunia tambara bovu, wacha niendelee kuwa mshamba tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni kuku wa kisasa. Kuhusu ya watu Ama umepotea njia, Ama huelewi hata maana ya threads kama hizi. Sijamsema mtu hapa, Fungua akili. Kwa sasa unajidai na hicho kimsemo, pambana na hali yako. Halafu siku yakikukuta ndio unakuja hapa unalialia kutaka Ushauri. Lazima haya mambo yasemwe, exceptions zitakuwapo tu. Ndio maana watu wanatembea na wake na waume za watu. Sisi ni kuonesha nyufa tu kabla watu hawajatiana ngeu
Ulimwelewa lakini alivyochangia au umejibu kikondoo tuu

Utapigwa risasi zaidi ya 20
 
Mkuu kwani hujui biashara ni matangazo ??

Halafu hili jambo sio zuri, ndio linasababisha michepuko na migogoro mingi kwenye ndoa..NDOA IHESHIMIWE
joseverest mkuu, baada ya avatar yako kudukuliwa umebadilisha nyingine, nusu kidogo nikusahau
 
Ni Hatari. Huwa nashangaa wanawake wanavyoshindana kutupia picha za fasheni instagram na facebook. Halafu hazina chochote zaidi ya kutaka kusifiwa tu. Najiona wa kizamani Sana, dunia imekwenda kasi mno. Doris
True true

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Back
Top Bottom