shida ni kuwahi kufa, kukomaa sio shida. Moyo hauwezi kuhimili mambo magumu kwa muda mrefu. Ndio maana hata Eliya aliomba Mungu amchukue mapema ili kupunguza tabu ya ulimwenguni hapa. Sasa mzee nikiwahi kufa hata hao watoto wa kulea hatakuwepo. Ni bora nilinde nafsi ili niapate hata muda wa kulea hao watoto. Otherwise, najiona kama my life has reached its end. Haya mambo mara nyingi yanageuka kua option kati ya kuishi na kifo. Baadhi ya wanawake wakiwa insecured sana wanaoption ya kuua wanaume. Angalia yule trafiki eti mapak mkewe ni mshukiwa wa mauaji.Ndio mke wako huyo komaa nae
N
Nafikiri anza na plan A kwanza mnyang'anye hiyo simu mnunulie hizi za kawaida swala lakuachana iwe ni option ya mwisho baada ya hili kushindikana.
Yaani wewe story ya mkeo kama yangu na mke wangu, lakini mimi nimeamua kumsamehe na kumuacha aendelee na upuuzi wake na ulimbukeni wake japo mara chache akijaribu kunihusisha na huo umaku wa social media namuwashia moto mzito.Wakati namuoa hata hakuwepo kwenye social networks kabisa, enzi hizo alikua na simu mchina ya tochi.
Hizi ndo shida za kuoa mke akiwa hana kipato hujui tabia yake ipoje akiwa nacho,Kumnyanganya naweza sana shida ya hawa wanawake wa siku hizi kwanza wanafanya kazi hivyo wanamishahara. Pia, wanasaccos ambayo inampa jeuri sana. Maana anaenda tu anachukua hela huko na anafanya mambo yake. So uwezo wa kununua anao nyingine anao sana. Mimi nlimuoa wakati hana kazi na hata saccos hazijui. Siku hizi kwenye saccos huko wanadanganyana sana hata ndoa inakua haina maana kabisa. Hata hela hakuzoea kushika alikua mpole balaa, siku hizi duh, hapa kazi tuuu. Ndo maana nimefikiria option ya divorce, maana hata ulimbukeni wa kushika hela nao unasumbua. Maana anafikiria maisha ni kitu rahisi sana kitu ambacho sio kweli, wakati hata kumanage mshahara wake tu kwa matumizi yake binafsi hawezi.
Is social media this serious hadi tunaongelea kifo,jmn I think this is exaggerated..shida ni kuwahi kufa, kukomaa sio shida. Moyo hauwezi kuhimili mambo magumu kwa muda mrefu. Ndio maana hata Eliya aliomba Mungu amchukue mapema ili kupunguza tabu ya ulimwenguni hapa. Sasa mzee nikiwahi kufa hata hao watoto wa kulea hatakuwepo. Ni bora nilinde nafsi ili niapate hata muda wa kulea hao watoto. Otherwise, najiona kama my life has reached its end. Haya mambo mara nyingi yanageuka kua option kati ya kuishi na kifo. Baadhi ya wanawake wakiwa insecured sana wanaoption ya kuua wanaume. Angalia yule trafiki eti mapak mkewe ni mshukiwa wa mauaji.
Trust me you are one in a few women. Hongera sana sister kwa kujitambua. Wewe ni dhahabu. Baadhi ya wanaume wanabahati.Picha haijalishi kama za aibu ama ni za aina gani. Kikubwa na kumsikiliza upande wa pili kama yeye binafsi hataki basi ni la kuheshimu hilo........
Hivi unadhani mapenzi yanaisha kwa vitu vikubwa? Haya mambo madogo madogo ndiyo yanayomaliza mapenzi.......
asante mkuu................Trust me you are one in a few women. Hongera sana sister kwa kujitambua. Wewe ni dhahabu. Baadhi ya wanaume wanabahati.
Wengine hawajui kuwa mapenzi sio vita au mashindano...sio mkubwa nani na mdogo nani. Mapenzi ni kusikilizana, kuheshimiana, kupendana na kujaliana etc etc. It is a win-win situation.
Tv na mitandao imewaharibu dada zetu hataree. Ukiona mkeo amebadilika kitabia ujuwe kuna kishetani mtu ndicho kinacho mbadilisha. Marafiki wengine wana tabia za kibinaadamu lakini wengine wana tabia za kishetani. Mimi na Jf tu hio mitandao mengine nayasikia tu.