Kwa taarifa nishapanga naenda nje ya mji kabisa hata home hutaniona
Bora niachane na kunusa harufu mbaya ya sox zako na viatu nikapunge upepo nje ya mji baharini huko na mtu wangu wa karibu