So......Will You????

Dhambi zako nyingi sana yaani ukifika kule motoni wewe utakuwa kuni kwa wenzako
 
upo bia ya ngapi..........
 
Dhambi zote sawa mbele ya Mungu, hata wewe unavyopiga punyeto unafikiri malaika wanavyokuangalia wanakupigia makofi?
Hahaha!! Ngoja ni-log out nikacheke vizuri kwanza
 
upo bia ya ngapi..........
Bia iko likizo mpaka mshahara utakapotoka. Hivi sasa niko bize naipa mimba Valuu.

Kunywa responsibly........

Vipi ushatongozana kwenye ule msredi wa AshaDii? Kama hujatongozana nakushauri uwahi mianaume itaisha aisee!
 
Hahaha!! Ngoja ni-log out nikacheke vizuri kwanza
OK....pitia kule kwenye sredi ya kutongozana, waambie ODM niko huku nawasubiri.

Mjadala wa leo hapa ni je:

Ukipiga punyeto ukiwa umevaa kondom ni zambi?
Kama mkono una ukimwi na kikojoleo hakina, mkono unaweza kuambukiza kikojoleo ukimwi wakati wa kitendo cha kujijamii mwenyewe?
 
Bia iko likizo mpaka mshahara utakapotoka. Hivi sasa niko bize naipa mimba Valuu.

Kunywa responsibly........

Vipi ushatongozana kwenye ule msredi wa AshaDii? Kama hujatongozana nakushauri uwahi mianaume itaisha aisee!

wanaume hawaishi kutongoza
 
Rabeka.... Shem wangu wa ukweli... Tatizo nini hapa??
 
Shem taratibu mbona sasa wamuadhirisha dogo.... Sababu tu kakuzidi kete kwa SL ndo bifu ulete hapa.... C'mon! lol
Na Soulmate wangu Gaga akikusoma hapa utamjibu nini? Afu hivi kapotelea wapi? Mwambie huku mvua haijanyesha ukame unaniangamiza.
 
Na Soulmate wangu Gaga akikusoma hapa utamjibu nini? Afu hivi kapotelea wapi? Mwambie huku mvua haijanyesha ukame unaniangamiza.

Shem bana.... Nilijua tu hizo hasira kwa PA sio bure!! lol..... Kumbe ukame unafanya kazi yake.... Ngoja nimpigie Gaga ASAP, By the time being, sinzia will give you some sweet words full of prayers, huwezi jua maybe mvua itanyesha!! lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…