The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
- Thread starter
-
- #21
Hapo atakuwa anaomba game au ndoa? maana dah sipati jibu.
Nyie watu ngoja nikachekeee nje.....lol!!!Nakumaliza tena ulo propose?? How come, can't you handle throwing in a little color gold and diamond?? lol
Mpwa binti hawezi kujivunga kabisa hapo
Hizo ni swagger za bila mpangilio za jamaa.... Nani mwanaume wa Kiswahili akuoe alafu muendelee na ndom hali wakati tu urafiki tu utata....lol
Hakuna Mamito
Aisee zote tatu zinahusika, ila kuna wadada wengi alikuwa ana expect pete unamfungulia anakutana na hiyo kitu walahi waweza kuambulia kibao cha uso na msonyo wa nguvu...lolNaona sasa tumuulize Finest kua hasa unapompa binti hio.... anakua anawaza nini mkichwa?? lol
- Kwamba ni mtiifu hawezi bila Condom.
- Kwamba akukipokea hio condom ndo kwamba mmseal uaminifu
- Au kuonesha kua anataka ziwe zinatunzwa kwenye hicho kidude?? lol
Naona sasa tumuulize Finest kua hasa unapompa binti hio.... anakua anawaza nini mkichwa?? lol
- Kwamba ni mtiifu hawezi bila Condom.
- Kwamba akukipokea hio condom ndo kwamba mmseal uaminifu
- Au kuonesha kua anataka ziwe zinatunzwa kwenye hicho kidude?? lol
The Finest jibu fasta (ngoja tuone kama hata choose namba 3)
Aisee zote tatu zinahusika, ila kuna wadada wengi alikuwa ana expect pete unamfungulia anakutana na hiyo kitu walahi waweza kuambulia kibao cha uso na msonyo wa nguvu...lol
Mpwa binti hawezi kujivunga kabisa hapo
Hahaha!!! Sasa BW ndio kusema unakitoa hivyo unatoka ndukii....yaani hauoni jinsi nitakavyokuwa nimekujali...loldaaah TF......nimeangalia kwa haraka nikifikiri ndoa inakwenda tangazwa kumbe mwisho wa sekunde kwenye dustbin.....kwa hilo hata nini hiiii huwezi pata hapo
Mambo yameishaharibika hapa sasaNgoja nimtafute MR. Rocky halafu nitarudi kutoa comment
Hahaha!!! Halafu hiyo sababu ya tatu inahusika sana...maana protection muhimu na kuonyesha how much i care...lolMuone alivo jibu hapa chini.... UONGO Mtupu!!! lol
Mie mwenyewe mbona nita mind.... I think nitaona unanichezea akili, otherwise inategemea nature ya mahusiano yenu kama mko too much "utani" na utoto mwingi na kwamba you are young kama below 22 hivi....
Lily Flower hiyo ya tatu unakuwa navyo hivyo vingiThe Finest jibu fasta (ngoja tuone kama hata choose namba 3)
Hahaha!!1 Msemo wa AshaDii naongeza manjonjo ufito wake unakuwa na rangi ya goldkunijali gani kwenye hilo box kama sio kunipachika mihasira
Mambo yameishaharibika hapa sasa
Sresdi kama hili wakongwe kama sisi haturuhusiwi kuposti kitu.
Hii post naiacha hapa kwa muda msome ili baadaye nii-delete kufuta ushaidi kwa wazee wenzangu.
Mkinigongea ka-Like naweza kufanya consideration ya kuiacha japo kwa masaa kazaa ili nifaidi raya ya LIKE!
Kamata mawani tupa kule.......... chukua biya tia hapa! Kulaaaaaaaleki!Babu nawe........habari yako bana.........umevaa miwani