- Thread starter
- #21
tatizo ni huyo wakutrust...mimi nikiona yamekua mazito nafanya kuandika najaza pages and pages then nadelete...
Yaani like wise to me..
Zaidi ya yote huwa nafanya sana fujo za mziki