So sad: Soma hii utajifunza kitu

So sad: Soma hii utajifunza kitu

Copy and pest somewhere....nivizuri ukitoa source ulipoitoa....
 
kama ni kweli basi ni fundisho lenye uhai kabisa katika mauhusiano yaliyoporomoka

Inaweza ikawa ni post ya zamani bt inaweza ikasaidia kwa kuwakumbusha baadhi ya vitu mkuu....
 
Ni nzuri na hua hainichoshi kusoma, namuomba MUNGU nisifike kwenye upuuzi huo. Mmmghh kama ni kukosea nikoseee lakini si kumtenda hivi mke wangu! Pita mbali shetani
 
Ni nzuri na hua hainichoshi kusoma, namuomba MUNGU nisifike kwenye upuuzi huo. Mmmghh kama ni kukosea nikoseee lakini si kumtenda hivi mke wangu! Pita mbali shetani

Tena mbaaaaaali kabisa...
 
Mleta mada hajakosea................

Ni kweli ilishwekwa hapa; lakini kukumbushana ni muhimu:

Kama tumeshaiona mbona michepuko inaendelea si wanaume; na si wanawake tulio katika NDOA tunaongoza.


MIAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ni kweli, nilishaisoma hapa hapa, na somewhere kule kwa watoto wa shule!
Filomena mii nimependa rangi ya macho yako, eti umemechisha na nini?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom