So sad,look at this kid.......

That's sad and terrible kwa kweli, still naamini anaweza kutibika kwa mafuta ya nazi, nimewahi kuona mtoto mwenye nusu ya dalili hizi lakini akapona in a week time baada ya mama'ke kumbadilishia mafuta.
 
ukitaki hizi zipo discovery chanel kuanzia 20:00hrs ndio utajua kabla hujafa hujaumbika.
mshukuru Mungu kwa jinsi alivyokuimba
 
Angekuwa Tanzania mngesema ni Barrick North Mara chemicals
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…