So lonely

Mimi ni mjane abt 55 yrs. Miaka 5 sasa. Nakosa raha nakuwa mpweke nasononeka sana.
Mbaya zaidi sina job wala mradi wowote.

Naombeni msaada/ushauri
funguka mama usaidike!...
 
Mamitod naomba email yako p,se. naona wengine humu wanakuzingua tu mama.Pole sana sana.
 
Nimependa comments zenu zote ingawaje kuna wengine wanakejeli. Ni sawa tu kila mtu na mawazo yake na uhuru wake. Hakuna mtu anapenda shida na siku ikitokea tu ghafla mambo yanabadilika huna uwezo wa kubadili mwelekeo wa upepo. La huna nsaaada waache wenzio waseme. Nashukuru kwa challenge life goes on
 
Tukiwa seriouse hii ni sehemu salama ya mtu kusaidiwa, tukileta utoto na kejeri kuna watu watakicomit suicide maana watakuwa hawana pa kukimbilia...Please tuwe na busara walau kidogo tu....
 
Pole mama.
You i guess you would be 32 if you would give birth to me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…