So lonely

yaani nlijua ni Mgane nkafungua uzi fasta nikamate fursa kumbe mjane alaaaah
 
mamitod

Kukosa raha....kuwa mpweke....kusononeka and likely! Financial problem ....kuomba ushauri kwenye jukwaa la mapenzi....ngoja nigoogle ushauri nitarudi!

Hili ni jukwaa la MAHUSIANO,MAPENZI NA URAFIKI,..husing'ang'anie sehemu moja tu mkuu.
Ktk uzi wake mamitod kawa clear kabisa kuwa anatufata USHAURI toka kwa MARAFIKI.

#Respect
 
Last edited by a moderator:
Mamitod naomba nije kwa PM yako, manake nimechoka na hivi vibinti vidogo nadhani tutafaana sana "mdogo mdogo"

Yawezekana akakurabisha PM alafu ukafika kule ukaanza kujiuma uma tu huku ukitoa shikamoo nyingi.

Do not joke with someone who is in serious situation.

#Respect
 
Mimi ni mjane abt 55 yrs. Miaka 5 sasa. Nakosa raha nakuwa mpweke nasononeka sana. Mbaya zaidi sina job wala mradi wowote.
hapo kwenye red ndo umeharibu...........lakini ungesema upo vizuri financially ungeona vijana ambavyo wangemiminika. By the way sijajua unaomba msaada gani kama ni mtaji usaidiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…