Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,344
- 114,017
Hiyo website huwa nachungulia tu na kusepa!.
Bei ya vitu vyao ni balaa!.Teh teh teh....mi mwenyewe hiyo Nieman Marcus huwa naiona kwa nje tu.
Ndani hata sijawahi kupagusa....naogopa nisije nikazuiliwa mlangoni bure.
Bei ya vitu vyao ni balaa!.
Wote walewale tu, ila kuna siku nijitia uchizi Neiman Marcus, nikatoka na sneakers pair moja!.Saks napo vipi mazee....huwa unachungulia chungulia huko?
Au na wenyewe ndo walewale tu?