hahahah, ni kweli mkuuduuu kama mapande ya sato vile!! wapo wanaogonga mpaka supu...ukiambiwa ndo utachefukwa ila ukiikuta menu tu huwezjua tena minofu yake yawezakuwa kama ya sato..
we acha tu mkuu,naona mwenzangu unatwanga tupolemkuu
mi kama mfungwa mkuu, sichagui gerezawe acha tu mkuu,naona mwenzangu unatwanga tu
hahaha, welcome mkuuudenda unantoka...
![]()
hapana mkuu, wengine mbona wanagonga tu!
mimi huwa naogopa sana ile shughuli ya tumbo la msokotami kama mfungwa mkuu, sichagui gereza