SMZ yaridhia Taasisi zake kutoa likizo za lazima ili kupunguza misongamano. RC Makonda apiga marufuku wazururaji Dar es Salaam

Itakavyokuwa
Polisi: We, unaenda wapi?
Mimi: Kazini
Polisi: Unafanyia wapi?
Mimi: Nauza duka kariakoo
Polisi: Kitambulisho?
Mimi: Sina
Polisi: Kaa chini
Mimi: (Bila ubishi nakaa)
Polisi: We ni mzururaji, ruka kichurachura uingie kwenye karandinga
Mimi: Narukaruka naingia.

Ndani ya karandinga nakuta wazururaji wenzangu wengine 30, tunaambukizana korona, hao tunaenda kufia mahabusu. Baada ya wiki, ripoti ya wizara inatoka inasema "kesi za korona ni 20 tu hakuna kesi mpya"

MyTake: Viongozi be humble, u wont stay fresh forever. Polisi sio raia, mkiwaambia kamata wanakamata, ni utaratibu gani watakaotumia kukamata hiyo sio kazi yako kiongozi, cha msingi akuonyeshe aliokamata.

RC UNAHARIBUUUUUU - Kwa sauti ya Maulidi Kitenge
 
Huyu mjinga akili zake haziko sawa. There is something very wrong in his upstairs! Au labda ni uoga wa watanzania ndiyo unamfanya atuchezee namna hii.
Aliyemteua haoni mapungufu ya mtu wake anavyoboronga kila siku?

Kwa kuwa mpaka sasa bado yuko kazini maana yake boss wake anaona kijana wake anafanya kazi nzuri kabisa.
 
Ni yule ambaye anatumia madaraka ya ofisi yake na Leo kutoa kauli hii?
abdulnondo1_1___B-ncLjHnmkR___.jpeg

Na kesho yake anatoa kama hii nyingine ?
abdulnondo1_2___B-ncLjHnmkR___.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom