SMZ yaridhia Taasisi zake kutoa likizo za lazima ili kupunguza misongamano. RC Makonda apiga marufuku wazururaji Dar es Salaam

Lazima ugonjwa huu wa corona virus uipige familia yako mkuu kwa kuwa umekuwa ukiomba sana uumize watz as if familia yako inaishi mbiguni. Ngoja tusubiri.
Wapi nimeomba? Nionyeshe!
 
Huu utampiga Makonda kwanza. Akiendelea na haya maujuaji yake nampa wiki tu. Halafu na yule mwili hauko vizuri so ajiangalie tutampotezamo!
Unaandika lakini ndani yako kunakushuhudia kwamba hauko Sawa, ndio uzuri wa kile Mungu kakiweka kwenye nafsi zetu, Unaomba mabaya Kwa wenzio ili iweje, Kama adui yako usiyempenda Kwa sababu tu za kisiasa akifa unapata nini mkuu, na akifa si kwamba wewe utaishi milele na wewe si utakufa tu na inawezekana ukafa hata Leo Kwa kitu chochote kile na si corona tu inayoua
 
Nimemjibu mlumumba mwenzako anayeniombea mimi nife kwa Corona na mimi nikaelekeza dua yake kwingine.
 
Soma comment yako ya mwanzo kwenye thread hii.
Nimeona ushauri ninaoutoa kwa serikali wanaishia kubeza na kuchukulia mambo kirahisi. Yani wanaichukulia Corona kama kakitu kadogo hawaoni kuwa hata hapa kwetu imeshatoa uhai wa mtu! Basi na mimi nimechoka hivyo acha waipate sawasawa. Acha niwahi kwenye press ya Ummy!
 
Back
Top Bottom