sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,285
Inasadikika leo usiku saa 6;30 to 9;30 miale ya cosmo itaingia dunianitoka syari ya MARS.Hivyo zima simu yako usiku na usilale nayo sababu ni miale hatari.cnazo cha habari hii ni NASA BBC
mkuu nisamehe bure mi nimeicheki just now BBC nilikuwa sijawahi kuipata.Syori ya siku nyingi sana hii. Uwe unajishughulisha kupata habari basi na wewe, kha!