SMS za uwongo juu ya mionzi ipitayo leo usiku (Cosmos Rays Hoax)

SMS za uwongo juu ya mionzi ipitayo leo usiku (Cosmos Rays Hoax)

Inasadikika leo usiku saa 6;30
to 9;30 miale ya cosmo itaingia dunianitoka syari ya MARS.Hivyo zima
simu yako usiku na usilale nayo sababu ni miale hatari.cnazo cha habari
hii ni NASA BBC

Digitali haiwezi kuzuia hiyo miale...??
 
Inasadikika leo usiku saa 6;30
to 9;30 miale ya cosmo itaingia dunianitoka syari ya MARS.Hivyo zima
simu yako usiku na usilale nayo sababu ni miale hatari.cnazo cha habari
hii ni NASA BBC

Kwa hiyo hiyo miale hata kama hujapigiwa simu wala kutumiwa meseji,yaani simu ikiwa imetulia tulii unaathirika??,hiyo kareee
 
Ni leo ipi hiyo? maana jinsi hadhali yako ilivyo kila siku ni leo... au basi si bora ungesema kila siku?

memba wa habari leo huyo hata kama ni za wiki iliyopita ikiwa ya cdm ni ya leo
 
Hii habari ni siku nyingi sana mleta mada.
Hiyo bbc unayotudanganya hapa ni ya wapi?
Usikurupuke kuleta '-----' hapa jukwaani.
 
Hii habari ni siku nyingi sana mleta mada.
Hiyo bbc unayotudanganya hapa ni ya wapi?
Usikurupuke kuleta '-----' hapa jukwaani.

ebu google bbcnassa radiations from mars 1january 2013 breaking news
 
Mi nakwambia siku hizi JF most of the time siku hizi ni kawaida kukutana na uozo Kama huu. Yaani mtu anakurupuka toka chooni hata hajanawa vizuri, utasikia Mara oooh Breaking news, Mara ooooh sijui ujinga gani.
Seriously guys, ili heshima ya JF irudi please Mods you have to do something about these craps it's too much now.
JF imejaa utoto, threads za ajabu ajabu, pumba, ujingaujinga nk.
 
Inasadikika leo usiku saa 6;30 to 9;30 miale ya cosmo itaingia dunianitoka syari ya MARS.Hivyo zima simu yako usiku na usilale nayo sababu ni miale hatari.cnazo cha habari hii ni NASA BBC

Uongo, mbona hizo cosmic radiations huwa zinatoka kwenye jua na nyota zingine na huwa zinaiishia kwenye angahewa(upper atmosphere) na kusababisha reactions ambayo mojawapo ni formation of carbon-14. Also chemical reactions include bombardment of chloro-fluorocarbons to form very reactive free radicals responsible for destruction of the ozone layer. Kwa hiyo leo zinatua, tena kutoka mars! Makubwa! Hata hivyo hayo maelezo yalikuwa yanaenezwa ziku za nyuma kwa njia ya sms. Simu yangu sizimi ng'o.
 
huu ni uwongo wa siku nyingi tu, leo wewe ndio umetumiwa hayo ma-msgy a urongo??!

Inasadikika leo usiku saa 6;30 to 9;30 miale ya cosmo itaingia dunianitoka syari ya MARS.Hivyo zima simu yako usiku na usilale nayo sababu ni miale hatari.cnazo cha habari hii ni NASA BBC
 
msipende kudanganywa kirahisi.thnk before you pass on.
 
Nimewahi kulalamika na nitaendelea kulalamika,posts za kitoto na kijinga hazitakiwi humu ndani new users wakikutana na posts kama hizi kwa mara ya kwanza wanahisi wote huku tuna akili kama za hawa watu.suala kama hili la kuzima simu eti kisa miale ni la siku nyingi na limegeuka stories za watoto shule ya msingi,mtu mzima unawezaje kuamini kitu kama hicho? Anyway ushauri wangu ni kwamba ujaribu kwanza kuuliza jirani yako au google mwenyewe kabla ya kuuliza jambo public,kuuliza sio ujinga but muulizaji anaweza akawa mjinga au analouliza likawa la kijinga.
 
Kwa msaada tu kwenye hili. Sio BBC wala NASA waliotoa taarifa hii na wala sio mamlaka yoyote ya kisayansi au kimazingira.
Cosmic rays are not emitted by planets,they are emitted by stars. i.e bodies that are undergoing nuclear reactions that is fusion. Na pia dunia inaweza kuzuia kwa kiasi kikubwa any harmful radiations from the sun through magnetosphere. Kinachobakia ni kiasi kidogo sana kutudhuru.
 
Inasadikika leo usiku saa 6;30 to 9;30 miale ya cosmo itaingia dunianitoka syari ya MARS.Hivyo zima simu yako usiku na usilale nayo sababu ni miale hatari.cnazo cha habari hii ni NASA BBC

Tuypia hapo hiyo link tujionee wenyewe
 
Back
Top Bottom