SMS za simu na whatsapp vipi ?

SMS za simu na whatsapp vipi ?

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,202
Reaction score
8,787
Naomba kujuzwa wadau.

Hivi, kama vile zinavyokuwa screened message za kawaida za simu, ndivyo ilivyo kwa msg na picha za Whatsapp ?
 
Mkuu hilo linawezekana kupitia 'a centralized system' ambayo hukusanya taarifa za mifumo na protokali mbalimbali za mawasiliano ya kieletroniki...

Kwa kawaida huwa najua mfumo kama huu huwa unamilikiwa na serikali kwa sababu za kiusalama na privacy tu nyingine za watu...

Kwa muda wako jaribu ku-google au wikipedia "Central Monitoring System"...
 
Back
Top Bottom