SMS za makampuni ya biashara kwa job seeker.

SMS za makampuni ya biashara kwa job seeker.

PistolGang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
392
Reaction score
44
Kumekua na kmtindo cha vikampuni va biashara kutuma SMS kwa wanaotafuta kazi wakiwaita kwa madai ya kuwapatia pesa bila kujitambulisha.
Nimekua muhanga kupokea SMS toka kwa watu nisiowajua na sijui wameipata wap namba yangu. Nikienda nakutana na vikao vinavyodai ujiunge nao kwa pesa nakuwa nao ktk biashara na watakulipa pesa nzur na safar nying..
NIMESANUKA..
 
Pole sana.
cheki kwenye facebook yako labda uliiweka huko,au kwenye kutuma ma-cv.
 
Back
Top Bottom