snochet
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 1,467
- 1,235
Baby naomba ukija hostel uninunulie Tigo ya elfu 5 au 10 niongee na mama,usisahau kuja na chips kuku lakini kuku awe mzima nipo na friends zangu afu hunie nadaiwa elfu 35 nilikopa afu baby hili weaving mi cjalipenda naomba elfu 45 nkasuke lingine c unajua weekend inakuja afu baby nadaiwa kodi ya hostel 280,000 LUV U MA BABY. BOY: nipunguzie vocha coz nilikopa tigo