Super Villain JF-Expert Member Joined Jan 2, 2019 Posts 9,395 Reaction score 21,060 Jan 31, 2020 #21 Equation x said: Tatizo hawa binadamu hisia zao huja baada ya kupata uhakika wa kimaisha katika kupata mahitaji yao muhimu Click to expand... Mzee wangu kila text utakuwa unatuma na muamala tu [emoji23]
Equation x said: Tatizo hawa binadamu hisia zao huja baada ya kupata uhakika wa kimaisha katika kupata mahitaji yao muhimu Click to expand... Mzee wangu kila text utakuwa unatuma na muamala tu [emoji23]
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,326 Reaction score 64,494 Jan 31, 2020 #22 Super Villain said: Mzee wangu kila text utakuwa unatuma na muamala tu [emoji23] Click to expand... ha ha ha ha inategemea mkuu,ili aweze kusoma sms yako kwa kujinafasi...inabidi awe na uhakika wa kula anachotaka,kuvaa,na kunukia pia n.k tofauti na hapo..utakuwa unatuma sms inajibiwa baada ya siku kadhaa
Super Villain said: Mzee wangu kila text utakuwa unatuma na muamala tu [emoji23] Click to expand... ha ha ha ha inategemea mkuu,ili aweze kusoma sms yako kwa kujinafasi...inabidi awe na uhakika wa kula anachotaka,kuvaa,na kunukia pia n.k tofauti na hapo..utakuwa unatuma sms inajibiwa baada ya siku kadhaa
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 61,982 Reaction score 127,446 Jan 31, 2020 #23 Super Villain said: Jamani hii slogan na hii mentality ipungue dah sio kila kitu muamala jamani fedha ni muhimu sikatai lakini sio kila kitu umalizwa na fedha fam. Click to expand... Amini nakuambia, hakuna meseji tamu hapa duniani kama ya M-PESA Sent using Jamii Forums mobile app
Super Villain said: Jamani hii slogan na hii mentality ipungue dah sio kila kitu muamala jamani fedha ni muhimu sikatai lakini sio kila kitu umalizwa na fedha fam. Click to expand... Amini nakuambia, hakuna meseji tamu hapa duniani kama ya M-PESA Sent using Jamii Forums mobile app