Sms za kufowadi

Wana kwa mwenye sms nzuri ya mahaba au maneno matamu naomba aweke hapa ili nimtumie shemeji yenu usiku huu
Ulale salama Malkia wa moyo wangu, mwanamke ninaye mpenda kila ikiitwa leo, unayefanya nipambane kwa kila hali. Upendo wangu kwako hauna kipimo.
Ukilala tambua ya kwamba wewe ni kipaumbele nambari moja, ukikosa amani au raha, mambo yangu yote hukwama.
I love you so much Babe. Ulale unono.
 
naona hili form four leaver kakusaidia mkuu
 
Aisee
 
Kutokana na changamoto za kimaisha kuwa nyingi....ukimtumia muamala wa fedha lazima acheke na kufurahi;maneno matupu hayana tija sana
Jamani hii slogan na hii mentality ipungue dah sio kila kitu muamala jamani fedha ni muhimu sikatai lakini sio kila kitu umalizwa na fedha fam.
 
Hivi watu bado wanatumaga sms za design hio 2020?
 
Jamani hii slogan na hii mentality ipungue dah sio kila kitu muamala jamani fedha ni muhimu sikatai lakini sio kila kitu umalizwa na fedha fam.
Tatizo hawa binadamu hisia zao huja baada ya kupata uhakika wa kimaisha katika kupata mahitaji yao muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…