SMS yangu ya October 2011

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,499
86,025
Wana Jamvi,

Japo nilipata SMS nyingi kwa October lakini hii kwangu nimeiona ndio the best, wewe yako ni ipi? Ina maana gani?

A Pencilmaker taught the Pencils five (5) Important Lessons;

1: Everything you do will always leave a mark
2: You can always correct the mistakes you make,
3: What is more important is what is inside you,
4: In Life you will have to undergo painfull sharpenings which will make you a better and...
5: ...To be the best, you must allow yourself to be held and guided by the hand holding you which is GOD!!!!!

Goooooooooood day
 
mtumba pencil imi nzitumia kwa kuchorea ramani, ahahahahaha! ka'concept kazuri sana.
 
Nilijiunga na hellotunes kwa tigo network...ikawa kila leo inakata sh 300, takribani wiki..nikaamua kuwapigia ile namba 0713800800, nikawa nakatwa na simu haipokelewi for 2 days. Nikaamua kujiondoa kwa ile huduma, nikatuma neno "unsubscibe" kwenda 15050 same namba nilivyojiunga.... Hii ndiyo msg niliyorudishiwa:

"Ahsante kwa kutumia tiGO, huduma hii bado haujajiunga na hautaweza kuondolewa"...si washanogewa kukata.....Tangu siku hiyo nimehamia Airtel nakula maisha.
 
Umefanya maamuzi magumu lakini ya busara. Nitakufundisha jinsi ya kuiba airtime.
 
Back
Top Bottom