Sms Yake inanichanganya. Nifanyeje??

Sms Yake inanichanganya. Nifanyeje??

Kuna mdada ambae tumedumu kimahusiano kwa miaka mitatu Sasa, upendo wangu kwako ulizid kuongezeka kutokana na Ile Hali ya kumkuta bikra, nilimpa vyote alivyostaili kupewa mwanamke. Kilichonifanya niandike uzi huu ni baada ya mwanamke nimpendae kusafir kuelekea Dar kujiendeleza na masomo Yake. Juzi nilimtumia meseji nikamwambia nimemmis Sana lakn cha Ajab alionesha kutopendezwa na sms yangu na hvyo kunijibu"Nilijua una jambo la maana la kunieleza kumbe Hilo" Nifanyej wanajamvi kwa maana nimebaki njia panda
Hapo umepata mwenzako hilo halina ubishi.

Mwanamke akienda dar asipoliwa huyo ww ndani. Dar huwa hawafanyi makosa, walivyo nadharau wanachimba na mtaro kabsa.

Ww komaa na maisha yako. Huyo siyo wako tena.
 
Cjakuelewa mkuu, yaan Hao wanaume wa dar hadi mtaroni kule wanafika??
 
Jambo LA Maana ni Kumtumia pesa sio kumtumia SMS eti una mmisi!!! Hahahahaha Mpwa tafuta mwingine
 
pole mkuu,hawa wanaotoka vijijini ndio walivyo,msubiri afike mwaka wa tatu atakutafuta ila kabla hujamrudia kapime nae ngoma
 
Back
Top Bottom