Sms Yake inanichanganya. Nifanyeje??

Sms Yake inanichanganya. Nifanyeje??

Wengi ndiyo michezo yao, na baada ya kuharibu hawaoi, wanapiga chini. huwa waongo sana.
Baada ya kuliwa vya kutosha, lazima apigwe chini. Siku hiyo lazima akutafute na atakuwa mpole mpaka utashangaa
Cna hamu nae kabxa
 
Kuna mdada ambae tumedumu kimahusiano kwa miaka mitatu Sasa, upendo wangu kwako ulizid kuongezeka kutokana na Ile Hali ya kumkuta bikra, nilimpa vyote alivyostaili kupewa mwanamke. Kilichonifanya niandike uzi huu ni baada ya mwanamke nimpendae kusafir kuelekea Dar kujiendeleza na masomo Yake. Juzi nilimtumia meseji nikamwambia nimemmis Sana lakn cha Ajab alionesha kutopendezwa na sms yangu na hvyo kunijibu"Nilijua una jambo la maana la kunieleza kumbe Hilo" Nifanyej wanajamvi kwa maana nimebaki njia panda
Jaribu kuelewa alichokujibu, uwe unamueleza mambo ya maana tuu sawa sawa!!
 
Back
Top Bottom