0769737 hzo mbili malizia mkuuNipe no yake nmuulze
Inabidi iwe hvyo kwa maana cna namnaHana hela huyoo
Wazama chumvin inaonekana wengi ni wanaume wa darHahahaaa hamekutana na mafundi wa kuzama chumvini uku wazee wa line zite jiongeze bro !
Wanaume wa dar cio watu wa sport sport wanapenda kuchangamkia fursa afu utakuta nikatoto kadogo tuu kanakomchanganya akiliKuna mdada ambae tumedumu kimahusiano kwa miaka mitatu Sasa, upendo wangu kwako ulizid kuongezeka kutokana na Ile Hali ya kumkuta bikra, nilimpa vyote alivyostaili kupewa mwanamke. Kilichonifanya niandike uzi huu ni baada ya mwanamke nimpendae kusafir kuelekea Dar kujiendeleza na masomo Yake. Juzi nilimtumia meseji nikamwambia nimemmis Sana lakn cha Ajab alionesha kutopendezwa na sms yangu na hvyo kunijibu"Nilijua una jambo la maana la kunieleza kumbe Hilo" Nifanyej wanajamvi kwa maana nimebaki njia panda
Duh washenzi kabisaPole.
Kapata mpya.
Ndivyo tunavyokuwaga tukimkinai mtu
Moyo unampenda lakn ndo ushapigwa sasaTatzo lililopo ni kwamba moyo wangu bado unampenda xna mkuu
Petha + mgegedo heavyHawa Dada zetu sijui tuwape nini jaman
Uko tayari. Atakuganda kias kwamba utakua unamkimbiaNgoja nijarib japo kishingo upande mkuu!! Kama Kuna mganga wa kunifanya nimsahau huyu mdada naomba unisaidie jinsi ya kumpata Ili Nami kwa Mara ya kwanza niroge
njia panda ya himo au hahahahah, hapo ushabaki na nyoyaaaaa tafuta ndege mwingine tuuu then let it goooKuna mdada ambae tumedumu kimahusiano kwa miaka mitatu Sasa, upendo wangu kwako ulizid kuongezeka kutokana na Ile Hali ya kumkuta bikra, nilimpa vyote alivyostaili kupewa mwanamke. Kilichonifanya niandike uzi huu ni baada ya mwanamke nimpendae kusafir kuelekea Dar kujiendeleza na masomo Yake. Juzi nilimtumia meseji nikamwambia nimemmis Sana lakn cha Ajab alionesha kutopendezwa na sms yangu na hvyo kunijibu"Nilijua una jambo la maana la kunieleza kumbe Hilo" Nifanyej wanajamvi kwa maana nimebaki njia panda