Lazima ukereke,manake wanakuona wewe fisi maji sana.Ninatumiwa SMS mara kwa mara kutoka tigo inayosema kuwa kuna msichana mwenye umri wa miaka 24 aidha miaka 19 mara zote wananiambia ameipenda profileyangu na angependa kuongea na mimi kwa mana hiyo nipige no 0901901901 wanamalizia nifurahie maongezi, Wana JF mimi binasfi SMS hii inanikera sana
Unakereka na meseji ambayo unaweza kuifuta tu, halafu usiione tena?! Hebu okoa muda wako kwa kuchagua vitu vya maana vya kukukera! Khaa...
Ninatumiwa SMS mara kwa mara kutoka tigo inayosema kuwa kuna msichana mwenye umri wa miaka 24 aidha miaka 19 mara zote wananiambia ameipenda profileyangu na angependa kuongea na mimi kwa mana hiyo nipige no 0901901901 wanamalizia nifurahie maongezi, Wana JF mimi binasfi SMS hii inanikera sana
ni kweli anaweza kuzipotezea kwa kuzifuta lkn nadhani hujakutana na adha mpya waloigundua sasa maana wanakutwangia kabisa then pokea uone utakavyoachwa solemba. vyote vyote hawa jamaa hawafai. mie miaka 70 hicho kimwari under 15 cha nini kwangu kama sio fedheha tuUnakereka na meseji ambayo unaweza kuifuta tu, halafu usiione tena?! Hebu okoa muda wako kwa kuchagua vitu vya maana vya kukukera! Khaa...
kuna mtandao hauna maana wao wanakupigia kabisa.........mnaujua??
Tigo walah imegeuka kuwa kampuni ya ukuwadi, kweli biashara ya mawasiliano ni ngumu
pole!! ila mmmh hyo username yako inantia njaa!!!Ninatumiwa SMS mara kwa mara kutoka tigo inayosema kuwa kuna msichana mwenye umri wa miaka 24 aidha miaka 19 mara zote wananiambia ameipenda profileyangu na angependa kuongea na mimi kwa mana hiyo nipige no 0901901901 wanamalizia nifurahie maongezi, Wana JF mimi binasfi SMS hii inanikera sana