we hulali?
sasa nimjibu nini huyu mrembo????
acha wivu
mi namwambia kazi umepata.
ila aonyeshe bidii kwanza..
sijui boss gani huyu hajui hata mitego ya kuibiwa,ngoja nimtafute kicheche mmoja nimsajili hapa tupige dili maana ming`ombe kibao.Mhh walinzi huwa hatulali
Mwambie iyo pic sio yake kaiiba sehemu ina muhuli, Hhehe hehe mwambie HUDANGANYIKI!
Kuna sms zingine ukitumiwa unabaki hoi...
hujui ujibu nini....
kama hii niliyotumiwa juzi....
"nina diploma ya kukumbatia,degree ya kutomasa,
masters ya kubusu,uzoefu wa miaka 20 wa kupenda,utanipa
kazi gani ndani ya kampuni ya mwili wako?"
.
mrembo mwenyewe ndo huyo hapo,
ni member hapa jf..
sijui nimjibu nini???
we hulali?
sasa nimjibu nini huyu mrembo????
Mwambie akuoneshe kwanza uzoefu wake wa nyuma ndo kazi iwepo.acha wivu
mi namwambia kazi umepata.
ila aonyeshe bidii kwanza..
jamaa yangu naona hajababatwizwa na wale wa9ja,wakimpata na habari yapicha tu,watamkula kichizi,the boss kuwa makini mkuu.BOSS ni lazima uhakikishe kwamba hiyo picha ni valid isije ikawa unaingizwa mjini halafu akakwambia ahhhhh! nilifanya mazoezi saaaaana 🙂 basi WOWO lote likapotea...LOL! Mjini hapa BOSS you have to be extra careful before you commit. Good luck and All the best.
jamaa yangu naona hajababatwizwa na wale wa9ja,wakimpata na habari yapicha tu,watamkula kichizi,the boss kuwa makini mkuu.
Mkuu yaani hiyo picha ulioyo iweka ndio inakunizingua? hata kama umemuona, that is not the basic thing, swali ni kuwa , je do you match with her in terms of tabia e.t.c. Do you want to take her as a wife? To me she doesn't deserve. Thats is my opinion, am sorry if I am wrong, but frankly speaking, sitoweka such a photo kwa mtu ninaympenda kwenye tovuti. Maoni yangu.