ok nimekunyake ndio lazima nilianzishe kama ukiwa bize yakupasa uniambie mapema baby leo nitakua bize nitakucheki mida kwanini usiniambie ni2me sms hujibu nipige sim husipokee lazima unipe mashaka ukiwa kama mpenwa wangu looo chezea kupenda wewee unaweza kupata ugonjwa wa moyo SARIKOKI