Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,599
- 2,100
Hata bei siyo mbaya.
Hizo hazidumu. Kama unahitaji product imara naweza kukufyngia triton k2 hii ni product ya waisrael hii ndo kiboko ya yote. Unaweza kujua kiasi cha mafuta, kuzima gari mahala popote lilipo, na service kibao hadi utakimbia wwmbona ni china product itadumu kweli maana wachina hawaaminiki..
Ukishindwana na jamaa mm ntakufungia galooli triton k2 product ya israel utaweza ku monitor. Magari yako kwa smart fone yako na pia kama utaweza kufanya fleet management kufanya scheduling ya services na maintenance na vitu kibao check me on 0712425141Mkuu hii nimeipenda wherever ya ni brand ya kichina au ya nchi yoyote ile, utawezaje kunifungia mimi nipo Kahama, Shinyanga bila ya kuja Dar?
Sms track inakupa details (coordinates) zote za kujua gari ilipo. Inakupa na landmarks mfano, Andrea T 502 CAB:Stopped, 1.45 km W of Tegeta Mwisho Bus Station,Dar es Salaam,TZ,7.86787,56.21156,10:32 Jul, 6, 2017safi sana. mbali na sms je kuna uwezekano wa kufanya tracking katika ramani? au huo mpango mnao...
Gharama ni ile Bei ya SMS ya kawaida. Karibu kwa 150 USD (unapata device yenyewe na installation tunakufuata popote ulipo DAR na MKOANI hata nchi jirani)Gharama za kutuma hizo COMMAND kwa SMS zikoje?
Popote pale itafanya kazi mkuu, tuna wateja mpaka Nchi jirani ZAMBIA, KENYA na Congo DR na inafanya kazi kote.Eneo letu halijapimwa, ukifika sehemu ambapo hakuna details za eneo hiyo system haitafanya kazi.
TUMEPUNGUZA BEI MPAKA 150 USD kwa sasa. KaribuMkuu andrew gharama za kufunga hi system ni the same kwa kila gari?I mean umesema $600 kwa GX100 vipi kama mimi namiliki prado?
Na ingependeza kama utaweka na contacts nur zako hapa pls.
Nipo kunduchi mtongani. Njooni mnifungie kwenye gari yanguSms track inakupa details (coordinates) zote za kujua gari ilipo. Inakupa na landmarks mfano, Andrea T 502 CAB:Stopped, 1.45 km W of Tegeta Mwisho Bus Station,Dar es Salaam,TZ,7.86787,56.21156,10:32 Jul, 6, 2017
nimeku-PM tayariNipo kunduchi mtongani. Njooni mnifungie kwenye gari yangu