Sms vehicle tracking system available in tanzania-chunga gari lako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sms vehicle tracking system available in tanzania-chunga gari lako

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by andreakalima, Jun 17, 2012.

 1. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,917
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Wadau kuna hii SMS Vehicle Tracking System ambayo ni device inawekwa kwenye gari yako then inaunganishwa na simu yako so unaweza ku-itrack gari yako popote pale wewe ulipo duniani au gari yako inapokwenda popote duniani,ili mradi unatumia simu yako iliyounganishwa na device kwenye gari yako.
  FAIDA:
  1. Unalipia Mara 1 tu (Hakuna Malipo ya kila Mwezi)
  2. Unaweza ku-monitor movement ya gari yako popote kupitia ujumbe wa simu (sms)
  a. Kujua lilipo(location) endapo si wewe unaendesha, kama umemuazima mtu au limeibiwa, inakupa na landmarks mfano, Andrea T 502 CAB:Stopped, 1.45 km W of Tegeta Mwisho Bus Station,Dar es Salaam,TZ,7.86787,56.21156,10:32 Jun 13
  b. Kusikiliza sauti ya anayeendesha maana linakuwa limetegwa Speaker ndani ya gari
  c. Ku-STOP ENGINE popote pale
  d. Inakupa Summary Report ya Movement ya Gari kwa siku nzima, kilomita ilizo tembea,
  e. Unaweza kujua maeneo ya karibu ambapo gari yako imepaki/ilipo
  WALENGWA: Makampuni ya Usafiri(Car Rental, Mabasi,Malori)& Wamiliki wa Magari Binafsi
  Kwa maelezo zaidi tunaweza kuwasiliana kwenye andreakalima@gmail.com
  BEI ni 150 USD
   
 2. h

  hoyce JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hii kali. Itatusaidia sana
   
 3. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 622
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Xafi xanaaaaaa
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kweli hii ni KAMATA MWIZI MAN....
   
 5. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  Hapo kwenye Red mkuu, unalipia bei gani? Au bei inaendana na aina ya gari? Lets say nna GX 100 ntalipia bei gani kwa hiyo service?
   
 6. alphoncetz

  alphoncetz JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Let me have some details including prices and type of devieces to be installed, and what if the vihacle will be taken out of celuller network coverage area?
  Push the info to: alphonce@alphonce.net
   
 7. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,917
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Unalipia 600 USD (unalipia once) kwa miaka yote ikitokea unataka kuuza gari yako tunaweza kukutolea hiyo device na kui-install kwenye gari mpya utakayonunua. Tafadhali hupaswi kubainisha kwa watu usiowaamini kuhusu kufungwa kwa kifaa hiki ndani ya gari yako. Ukifika ofisini kwetu,tunafunga na tunakufundisha jinsi ya kutumia hiki kifaa. ukituhitaji tunakuja popote Tanzania hata nchi jirani Kenya, Uganda, Congo DRC, Burundi, Rwanda.
   
 8. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,917
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
 9. ERIC JOSEPH

  ERIC JOSEPH JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  tunashukulu kwa kutujuza kweli teknolojia imekuwa.hongela mbunifu wa hicho kifaa
   
 10. N

  Nyasiro Verified User

  #10
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  safi sana. mbali na sms je kuna uwezekano wa kufanya tracking katika ramani? au huo mpango mnao...
   
 11. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hizi ni moja ya Hot research projects kwenye nchi zilizoendelea; Nilitegemea institutes kama Nyumbu wawe na vitengo vya kufanya research na kudeseminate pamoja na kuzitumia kunadi magari yao. Lakini kwa kutanguliza siasa, tutaendelea kuwa wateja kama na hii technolojia tumeimport basi hatuna cha kujivunia. Kama mdau uliyeleta hiyo kitu wewe ndiye umekaa ukapiga code na mazaga zaga yake, basi unahitaji tuzo kamanda kwa ubunifu wako.
   
 12. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Eneo letu halijapimwa, ukifika sehemu ambapo hakuna details za eneo hiyo system haitafanya kazi.
   
 13. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280

  Mkuu Andrea,

  Vipi hiyo device inaweza kuwa connected na simu/line (Voda/ tigo/ airtel) zaidi ya moja na zote zikawa zinapokea msg,

  advantage ni kuwa kama line moja haina connection basi nyingine itakuwa online, au kama watu wawili (hus/Wife) wanatumia simu tofauti wanaweza kuwa connected na hiyo device na wote wakawa wanapata msg za movement ya gari?
   
 14. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Na wezi wakishajua kwamba magari yanawekwa vifaa vya aina hii, kitu cha kwanza watakachokuwa wanafanya ni kukitafuta na kukiondoka kabla ya kuanza safari na gari lako.
   
 15. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,917
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Kwa sasa tunaweza ku-connect kwenye line moja inategmea na COMMAND utakazoziweka maana kila kitu ni mpaka wewe mwenye simu utume COMMAND mfano unataka kujua gari lako lilipo unatuma neno F kwenda kwenye namba ya simu iliyopo kwenye gari na unarudishiwa ujumbe hapo hapo mfano baada ya kutuma Command F (yaani FIND) utarudishiwa Ujumbe Andrea(jina lako) (Namba ya Gari), 0.10 km of TEMEKE HOSPITAL, 7.98989,11:34,Jun 17....Zipo command nyingi mfano ku-set
  1.SPEED LIMIT (unaweza kuweka speed isizidi 100kph ikizidi device itakutumia text kuwa dereva amezidisha speed
  2.DISABLE/STOP ENGINE,(tafadhali usifanye hii COMMAND gari ikiwa inatembea barabarani unaweza kusababisha ajali
  3.FIND NEARBY LOCATIONS,
  4.TRIP REPORT(per trip)
  5.ZONING (ukaweka zone kuwa gari yako isitoke nje ya Dar, ikitoka nje ya Dar itakutumia sms kwenye simu yako)
  Ni teknolojia toka abroad,sisi ni mawakala tu hapa Tanzania
   
 16. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,917
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Kusema ule Ukweli DEVICE hii ni bora kuliko Alarm za Kwenye Magari ambazo wezi wa Magari esp kwenye PARKING za SHOPPING MALL(Mlimani City, Quality Plaza),HOTEL KUBWA KUBWA(Kilimanjaro,New Africa,Sea Cliff) ndio sehemu zao za kuiba.ile gari inawashwa tu unapata sms kuwa gari inawashwa(ON). Mnataka nini tena kwa usalama wa Magari yenu?
   
 17. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #17
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mbona ni china product itadumu kweli maana wachina hawaaminiki..
   
 18. N

  Nyasiro Verified User

  #18
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Gharama za kutuma hizo COMMAND kwa SMS zikoje?
   
 19. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,017
  Likes Received: 1,387
  Trophy Points: 280
  Hii safi sana, imesaidia kupunguza wizi wa magari mengi ughaibuni


  Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
   
 20. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #20
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,268
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapo kwenye red sijakupata na sijajua utendaji wake!!
   
Loading...