Sms kwa urahisi

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,771
2,544
Sisi wengine kuandika msg kwenye sim tunaona mzigo. Mfano ukitaka kuandika 'Z' hadi uminye mara 4! Sasa hii ni kero na inapoteza muda. Mbona english inakuwa simpo? Hakuna waswahili wanaoweza kurahisisha uandikaji wa msg ktk sim?
 
mziwanda achana na sms, jiunge na jiachie au xtreme
 
jirushe na jiachie ni kwa watu wenye uwezo wa kati sasa sisi wa sms tunajiunga na sms extreme 500 kwa cku si haba ebu fanyeni mambo wana IT
 
Sorry kukukwaza...lakini wabongo wakati mwingine waoga tu manaweza jiunga wawili hadi watatu mkafaidi ile jiunge na jiachie au xtreme....maisha mipangilio muungwana!
 
I have a cousin ambaye kidole gumba chake cha mkono wa kulia kimeota sugu (yaani hata ukikidunga sindano haingii itaishia kukatika tu na kumaliza sindano zako) Usiku na mchana ye anachat tu! Mi nilishaacha kuandika sms toka mwaka 2002, ikinilazimu SANA kuandika sms huwa na outsource tu!!
 
Nunua Blackberry, kero yote kwako itaisha....

Mambo mazuri ni ghali mzee!!...mwaga kilo tano hapo

SAPNA, kitu laiiiini, single touch mchumba yuko mlangoni!

Ha ha haaa!!
 
Tatizo la hizo ofa ni kwa watu wa mtandao mmoja. May be niko tigo, naetaka kuwasiliana nae yuko zain, itabidi basi niwe na sim 4 au 5! Wabongo hawashindwi. Mbona wanafumua mifumo ya magari na kuyarudishia? Pia wengi walikuwa mafundi saa lkn sim zilipoingia wakawa mafundi wa sim. Ss wanashindwa nini kurahisisha uandikaji wa msg? Inaboa sana
 
Nunua Noki 1200 V 4.11 ni zile za torch mazee pale midcom zina dictionary ya kiswahili, ndio ninayotumia mimi hunahaja ya kutype mara 4. Pole na hayo maneno ya hapo juu ni utani tu SMS zinaraha yake.
 
sasa ya toch kwani ina net? Hapa natumia sim kuaccess JF. Mbona wasifanye kwa brand zote za sim?
 
Samahani sana mkuu, ujumbe wako wa kwanza niliuelewa kama vile unapata shida kuandika msg ndio maana nikakuambia kwa msg hizo nokia1200 ni nzuri sana sikujua hayo ya internet. Mbona wasifanye kwa brand zote sina uhakika unamaanisha nini ila kuhusu simu kuwa dictionary ya kiswahili ukienda pale midcom selander kuna zaidi ya hiyo 1200 tena zina internet, natumia pia E71 kuandika emails bila kubonyeza mara nyingi.
 
bila shaka, nitaenda kuulizia hapo maana hizi sim zetu tabu tupu. tunahitaji kurahisishiwa maisha, sasa wadau wanakaa tu. nadhani wako wajasiriamali katika fani ya teknolojia wanaweza kufanya haya mambo
 
Watu wanatongozana kirahisi kwa sms na kuachana kirahisi hivyo hivyo pengine kwa matusi! sms bwana.
 
Tatizo la hizo ofa ni kwa watu wa mtandao mmoja. May be niko tigo, naetaka kuwasiliana nae yuko zain, itabidi basi niwe na sim 4 au 5! Wabongo hawashindwi. Mbona wanafumua mifumo ya magari na kuyarudishia? Pia wengi walikuwa mafundi saa lkn sim zilipoingia wakawa mafundi wa sim. Ss wanashindwa nini kurahisisha uandikaji wa msg? Inaboa sana

Siku hizi kuna simu za Line mbili hadi tatu, mbona ni rahisi tu!! Unakuwa na simu ya Line 3 au 2 then unapunguza gharama, akikubeep mwenye voda unamtwangia voda, tigo iki beep inatwanga tigo!!!!!
 
kuna wakati mtu unataka kutuma sms ndio maana kuna hii alternative. La turudi kwenye analogue.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom